Mkubwa leo umepigwa za uso sana aiseeeMe naomba niwaache kidogo naona biashara ngumu kupita maelezo ngoja nipumzike kidogo mpaka mambo yatakapo kuwa fresh kwa wanao weza kuwasilana nami namba hizi 0766403805 ngoja nipumzike japo mwezi tuone
Ndio maana nkasema man city kapita na wengi.... Ningecheza lazima Ningemcheza....Bora tumepumzika maana kama City kapigwa leo ningepigwa za uso
Yaani kama tumewaza sawa.... Nikipigwa mfululizo wiki... Wiki ya pili.... Naombaga poooo...... Stop.... Napumzika kutafuta upepo.... Maana mtu unaliwa unajaa gesi.... Na ukibet umepanic mostly utaliwa.Mkubwa leo umepigwa za uso sana aiseee
Wakuu habari za asubuhi, Leo sitaki timu nyingi najitupa kihivi
Arsenal win
Man u win.
, maombi yenu tafadhali
Timu za england haziaminiki weka Utrecht, fenabahce, ajax na atletico Bilbao all to WIN.Wakuu habari za asubuhi, Leo sitaki timu nyingi najitupa kihivi
Arsenal win
Man u win.
, maombi yenu tafadhali
Dah, mnantisha asee halaf Mbona kama vile presha inataka kupanda kabla muda haujafikaUtafute na vidonge vya kutuliza BP.Hawana tofauti na Man city hao.
Sikufats mkuu nilikuwa nishabet, ebu twende na leo nikufateKichuna ulifata hii..Bet won
Kuna mkeka nilibet online jana mechi ya Ruch C v Lech Poznan,,nikampa Lech P ashinde na goli kuanzia 2+.Kweli akashinda 3-1 lakini cha ajabu wamenipiga red kwenye mkeka wangu kwa maana ya kwamba nimekosa.Napataje ufumbuzi wa hili wakuu
Neda kwenye office zaoKuna mkeka nilibet online jana mechi ya Ruch C v Lech Poznan,,nikampa Lech P ashinde na goli kuanzia 2+.Kweli akashinda 3-1 lakini cha ajabu wamenipiga red kwenye mkeka wangu kwa maana ya kwamba nimekosa.Napataje ufumbuzi wa hili wakuu
2+ maana yake timu uliyoipa ushindi ishinde kwa zaidi ya goli mbili. Sasa kwako wewe hiyo 3-1 ni sawa na 2: 0 kwa uelewa wangu ni kweli umefungwaKuna mkeka nilibet online jana mechi ya Ruch C v Lech Poznan,,nikampa Lech P ashinde na goli kuanzia 2+.Kweli akashinda 3-1 lakini cha ajabu wamenipiga red kwenye mkeka wangu kwa maana ya kwamba nimekosa.Napataje ufumbuzi wa hili wakuu
Hapo alitakiwa ashinde goli kama 3_0 au 4_1 au 5_2 umepigwa mkuu maana Yake 3_1 lech atakuwa kushinda 2Kuna mkeka nilibet online jana mechi ya Ruch C v Lech Poznan,,nikampa Lech P ashinde na goli kuanzia 2+.Kweli akashinda 3-1 lakini cha ajabu wamenipiga red kwenye mkeka wangu kwa maana ya kwamba nimekosa.Napataje ufumbuzi wa hili wakuu
Man U sio wakuamin kihivo.Wakuu habari za asubuhi, Leo sitaki timu nyingi najitupa kihivi
Arsenal win
Man u win.
, maombi yenu tafadhali
Man u hapana kaka mtazame Basel, Spurs, ValenciaWakuu habari za asubuhi, Leo sitaki timu nyingi najitupa kihivi
Arsenal win
Man u win.
, maombi yenu tafadhali
Arsenal Veep wakuuMan
Man u hapana kaka mtazame Basel, Spurs, Valencia
Mkuu Kibo hii sio handcap...ni ile option ya double bet-2&A+.Yani maana ake mtu wa away ashinde gemu na wakati huohuo goli zake zianzie mbili na kuendelea.Nimekuwa nikiicheza sana ni jana ndo nimeshangaa kuona hivo.Hapo alitakiwa ashinde goli kama 3_0 au 4_1 au 5_2 umepigwa mkuu maana Yake 3_1 lech atakuwa kushinda 2
Hhhaaaaaaaaa! Acha woga root. Ngoja nikupe mkekaLeo giza
Natulia pia siku ya leo