Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi odd Za 1.00 adi 1.6 hivi mara nyingi huishia draw au timu iliyopewa odd ndogo huambuliwa vikwenzi...kwa game za karibuni kama ya PSV(ligi ya uholanz),AJAX(ligi ya kwao) Man city(EPL) Atletico madrid jana Man city tizama matokeo yao yalivyo toboa toboa mikeka...

Ni kua makini na hizi odd...
 


Wakuu nipeni msaada kwenye wire premier betting pale huwa ni over/under ya kila team au over/under ya jumla ya magoli yote?
 
Asante Kwa hiyo kama hapo 1 ni yes na 2 ni no?
Yaani mfano wire 2.5 hapo ukiweka 1 inamaanisha nini na 2 inamaanisha nini?
Ww unachanganya kwenye under/over hakuna yes wala no
Ushaambiwa under ni 0-0, 1-0, 1-1 au 2-0 yani magoli yasizidi mawili
Over yapatikanika magoli 3 na kuendelea

Hayo mambo ya yes na no yapo kwenye kufungana kila timu ipate goli ndio unachagua yes au no
 
[4/4]
0079 16-03 22:45:00 Barcelona-Arsenal
Final Score 1 1.24
0081 16-03 22:45:00 Bayern Munchen-Juventu
Final Score 1 1.38
1250 16-03 19:00:00 FC Kobenhavn-Randers
Final Score 1 1.53
0132 16-03 20:30:00 Legia-Zawisza B.
Final Score 1 1.35
------------------------------------------
Total: 200000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.53
Max payout: 706896.72
Combination count: 1
 
Mkuu sikushauri uweke ya pointi 1.5 due to my experience huwa no draw. Au kupigwa kabisa
 


Wakuu nipeni msaada kwenye wire premier betting pale huwa ni over/under ya kila team au over/under ya jumla ya magoli yote?


HAYA CHUKUA NOTSI
16 - GOLI MWISHO NI MOJA ..lisizidi goli moja hapa 0-0 , 1-0 ama 0-1 ....ndio matokeo pekee yanatakiwa tofauti na hapo umeliwa ..sawasawaaaaaaaaa
17 - magoli yaanzie mawili na kuendelea , yaani hapa matokeo ya 0-0, 1-0, ama 0-1 hayatakiwi...sawasawaaaaaaaa
18 - hapa mkuu magoli yasizidi mawili, yaani mwisho magoli mawili .. matokeo yanayotakiwa ni 0-0, 0-1, 1-0,1-1, 2-0, 0-2 , yakifika matatu tu umeliwa ..sawasawaaaaaaaa
19 - magoli yaanzie matatu kwenda mbele ....matokea ya 0-0, 0-1, 1-0,1-1, 2-0, 0-2 hayatakiwi yakitokea umeliwa....sawasawaaaaaa
20 - magoli yasizidi matatu, mfano 0-0, 0-1, 1-0,1-1, 2-0, 0-2, 2-1, 1-2, 3-0 , 0-3 ....tofauti na matokeo haya umeliwa ...sawasawaaaaa
21 - magoli yaanzie manne kwenda mbele pungufu ya manne umeliwa ..sawasawaaaaaaaa
 
Nimekusoma, ila nimeona kama Kuna matokeo yatatoa washindi wengi kwa mfano ikiwa 0-0 basi 16 ,18 , na 20 wote wanakuwa wameshinda?
 
Results / Both Team to Score
1Y: 4 XY: 5.20 2Y: 11.60 1N: 2.35 XN: 7.90 2N: 7.80

hii kitu kwenye mkekabet maana yake nn?
 
Results / Both Team to Score
1Y: 4 XY: 5.20 2Y: 11.60 1N: 2.35 XN: 7.90 2N: 7.80

hii kitu kwenye mkekabet maana yake nn?
1Y - ni wa nyumbani ashinde na wafungane mfano. 2-1,3-2,3-1... Lakini ushindi wa bila ni 1N(soma maelezo chini)
XY - mechi iishe sare lakini ya magoli mfano 1-1,2-2,3-3
2Y- wa ugenini ashinde na wafungane mfano 1-2,2-3,2-4
1N- wa nyumbani ashinde bila kufungwa mfano 2-0,1-0,3-0
XN - mechi iishe sare na wafungane hapa inakubali 0-0 tuu
2N - wa ugenini ashinde bila kuruhusu goli Yaani 0-2,0-1,3-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…