Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Zinaweza zikazidi mkuuBarcelona 3-0 Arsenal
Mi nlimwekea 15,000/- nimekaa Na paracetamol Na magnesium ya kutoshahahahahahaha mamamareeeeeeeeeeeeeeeeeee Bayern Munich anaondoka na kijiji humu huyo mwana aliweka laki mbili asije kufa kwa presha
wengine tulianza kuhofu mapema japo ni half time ila kwa mwendo huu kuna vilio vingi.....hiyo stake imefanya tumbo liungurume hasa ukizingatia idadi ya timu na hapo kwa juve mmmmh!
Mkuu pole sana aisee kumbe mkeka umechanika mapema huyo fc kobenhavn ame draw betting imekuwa ngumu sana[4/4]
0079 16-03 22:45:00 Barcelona-Arsenal
Final Score 1 1.24
0081 16-03 22:45:00 Bayern Munchen-Juventu
Final Score 1 1.38
1250 16-03 19:00:00 FC Kobenhavn-Randers
Final Score 1 1.53
0132 16-03 20:30:00 Legia-Zawisza B.
Final Score 1 1.35
------------------------------------------
Total: 200000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.53
Max payout: 706896.72
Combination count: 1
Haya sasa.... Aliefata amekula...... Kiroho safi....Kama una roho mgumu... Tupia... Arsenal, bayern Munich zoteu3+....
Umemchapa nao nn...Double chance ndio habari ya mjini
Elezea Kauli Yako haujasomeka. Supabets ina jipya gani?Supabets ni konyo.