Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 468
- 398
Timu za kiingereza si timu za kutegemea sana kwenye mkeka! Siri yangu ya kupiga hela huwa naingia goal.com naangalia games za sku hyo then na-click kila timu kuangalia form yake, head to head history na hyo timu pinzani na pia position ya hiyo timu kwenye table(msimamo) hapa inapata details za kutosha na kwa kila ligi namchukua mtabe anaecheza sku hyo especially akiwa nyumbani then nakuja kulinganisha na points alizopewa na muhindi nikikuta gap ni kubwa sana nampa win! Kwa kila ligi nikipata timu mbili kwa ligi tano nnakua na timu 10 zenye odds za kutosha then naweka hela ya kawaida ( eg 2000-5000) last weekend nmempiga muhindi laki4......fuata nyuki ule asali
matak# sana hawa watu.com.google.gwt.user.client.rpc.StatusCodeException: 500 Internal Server Error
Internal Server Error
The server encountered an internal error or misconfiguration and was unable to complete your request.
Please contact the server administrator, webmaster@localhost and inform them of the time the error occurred, and anything you might have done that may have caused the error.
More information about this error may be available in the server error log.
Apache/2.2.22 (Ubuntu) Server at meridianbet.co.tz Port 443
West Bro Win
Ipswich Win
Swansea Win
Caen Win
Wale wenye hela zao timu hizo sijacheki zina Odds ngapi
Meridian naona server imezidiwa..inasumbua saanaMeridianbet.co.tz ni jipu....
Meridian naona server imezidiwa..inasumbua saana
wanaboa mbaya vp wewe hutumia mkekabet??meridian wamechoka hela tatizo lina mwezi sasa
Nn hyo mkuu sijaelewa
Wanasema kuweka timu 4-5 nafasi Ni chache bora 2-3 mwisho tena za uhakika Mie sijafikia moyo WA kuweka Hiyo Laki unayosema ukiwa Na roho ya ubahili betting Ni ngumu Ku invest hehehe.Jamani naombeni timu moja tu yenye uhakika wa kushinda leo nitie mzigo wa laki tano Mkekabet.com hata kama nitakula elfu 20 sawa tu.
Tangia siku ile niweke timu saba nikaweka laki mbili ili nile mil 1.6 hlf ikakosa mechi moja tu sitabet tena multiple bet.