Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh, Aisee kwema humu kilingeni.? Mtoto wa Nzi Mikeka inatembea..?
 
Leo siku mbaya kweli ya mkeka ishaharibika vibaya mpaka next week tena. kesho sichezi ILA Man City,Juventus,Napoli.
 
Baada ya kuanza kuzipa kisogo odds ndogondogo maana zinachana vibaya mikeka,nimeanza kukwanjuka na odds kubwakubwa.

Japo nasikitika sana kuwa sikupata muda nitupie mkeka wa leo baada ya kuzichungulia odds hizo siku ya jana.Ni dharula ndo imenikosesha mihela.

Kwa ile jana nilipoziona odds zao tu kabla ya kutafiti details zao.Niliona.

-CAGLIARI 2.29
-LEICESTER 2.29
-ARSENAL 2.40
-BRIGHTON 2.07
-BURTON ALBION 2.55

Zote hizo ni AWAY WIN hlf zimetiki.

Nakaza buti sasa kwa ajili ya kesho maana nayo ni siku.
 
45 mins: sporting cp - arouca over 0.5 goals 0dds 1. 29
45 mins:vitoria setubal - fc porto over 0.5 goals odds 1. 29
Tupia kama laki 5
99. 9%surebet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…