Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Feyenood alivyoanza kufungwa dk ya 26 niliamua kuzima simu na kulala. Halftime jamaa akawa nyuma kwa goli moja. alivyotoka mapumzika mapumziko akamningiza mtu bao tatu. 160,000 faida kwa stake ya laki tano.
ok, umekula lakini kwa mwendo wa kuweka stake kubwa hivyo jombaa sikushauri uendelee, labda laki tano iwe ni hela ya mboga kwako, la sivyo utajapata shambulio la moyo
 
Feyenood alivyoanza kufungwa dk ya 26 niliamua kuzima simu na kulala. Halftime jamaa akawa nyuma kwa goli moja. alivyotoka mapumzika mapumziko akamningiza mtu bao tatu. 160,000 faida kwa stake ya laki tano.
Mpe Barcelona au totenham au Juve.... Utaemuona poa mjae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…