Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe,ulinifata ndugu?
Vizuri sana bwana,si kuwa na hiyana ya kuweka jamvini ili wenye mtaji waweke maana ilikuwa ni uhakika 100% DRAW haikwepeki ingawa mie sikuwa na kitu hivyo sikucheza.

Lakini kwa mechi hiyo hata ningekuwa na m1 ningejilipua vizuri kabisa.

cc. PEPELUSH
 
Crotia vs Israel HF/FT X/1
Poland vs Serbia HF/FT 1/1
Romania vs Lithuania HF/FT X/1
jaman pesaa hiyoo mjilipue mnavyoweza asiliamia 100 %
See you soon.......
 
Jamani sure bet wanawekaje hela kwenye account ili mtu aweze kubet?
 
Duh! Samatta kanikata mtaji tukutane weekend. Jana nilikula laki sita leo nimeliwa laki tano, sio mbaya. Ok
Siku nyengine uwe unasafiria nyota za wengine, mm mwenyewe siku nikiona sijielewi elewi nachukua mikeka ya watu humu naifata na uwa nakula
 
Me meridian bet inanizingua kujisajili inachukua mda mrefu kweli kuload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…