Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Live mtandao ninao tumia inaweza load masaa kumi na tano
 
nimedeposit hela toka jana hadi sasa haipo kwenye meridian?

Wapigie simu uwaambie. Namba zao za simu wameziweka katika site yao. Kwa uharaka zaidi hizo hapo nimeweka. Ya vodacom ndio mara nyingi inakuwa hewani na wanapokea.

Name: Meridian
Tel1: 0754303032
Tel2: 0683529544
Tel3: 0652470608
 
Wazee mbona muhindi leo hajatoa timu mpaka mida hii shida nn

premier ya Tz wakichelewa k2o fxtr ktk website yao unaweza angalia ktk webste za premier bettng za nchi nyngne kama rwanda na ghana,pia kwa ghana huwa wako fasta ku display fxtre zinazofuatia
 
Natupa karata hapa, betting haina formula kuna kupiga na kupigwa...
 

Attachments

  • 1408280444653.jpg
    79.7 KB · Views: 125
W.bremen wamenikosesha mpunga hawa wameenda kushinda extra time
 
hahaha mimi nikiwa na mkeka hata sipati usingizi kila dakika naota kuchaniwa... Leo wazee wengi najua wamekula ndo maana wapo kimya, ila wangekua wamepigwa kila mtu angekuja kueleza kilio chake

hahahaaa ni kweli aiseee naona wazee wenzetu wameenda kuweka heshima bar,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…