Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Live mtandao ninao tumia inaweza load masaa kumi na tano
Halafu mm huwa nacheza na live pia...kama mtaji mdogo zinakomboa sana
nimedeposit hela toka jana hadi sasa haipo kwenye meridian?
Wazee mbona muhindi leo hajatoa timu mpaka mida hii shida nn
Nokia live bet ndo mpango mzima, ndani ya 45mins unaweza kula hela za ajabu,
Usiku mwema wazee wenzangu..
mzee mwenzangu baharia vipi mikeka leo
Jionee mwenyewe mzee mwenzangu huo hapo juu, afdhali nilale nitajua matokeo asubuhi..
hahaha mimi nikiwa na mkeka hata sipati usingizi kila dakika naota kuchaniwa... Leo wazee wengi najua wamekula ndo maana wapo kimya, ila wangekua wamepigwa kila mtu angekuja kueleza kilio chake
hahahaaa ni kweli aiseee naona wazee wenzetu wameenda kuweka heshima bar,,
wazee wako safi leo, hali ingekua mbaya ungemwona Andybird anavolia