NDIO AMESEMAAAAA BAHATI YAKE KUMBE ALIMPA TU POLAND ASHINDE..... SI UNAJUA ILA WE UNAJUA UMEWEKA OPTIONS FLANI KUMBE UMECLICK TOFAUTI..... NAFIKIRI NDIO KIMEMKUTA HUYU .... IKAWA BAHATI KWAKE
Mechi za leo hizi Odds ni ndogo sana hapa natafuta ya kuweka magoli tu ya 0ver/under au Both tem to score
Dk 25 magol 2-0Tiketi yangu ya mechi ya Australia na Tajistan ya saa sita nimebet magoli yasifike manne yaani under 3.5 kwa stake ya laki mbili nipate faida laki mbili na zaidi.
Iq29-rj65-9jdv.
Nitaleta mrejesho saa nane kama hela ya mboga itapatikana. Lazima nimle tu
Dk 59 bao 3-0Dk 25 magol 2-0
Dakika ya 71 ' bao 4Dk 59 bao 3-0
Nilivyo ona head to head hii game imenishitua sanaDakika ya 71 ' bao 4
Tiketi yangu ya mechi ya Australia na Tajistan ya saa sita nimebet magoli yasifike manne yaani under 3.5 kwa stake ya laki mbili nipate faida laki mbili na zaidi.
Iq29-rj65-9jdv.
Nitaleta mrejesho saa nane kama hela ya mboga itapatikana. Lazima nimle tu
7-0Duh! Australia bwana, sasa unampiga mtu goli sita zote za nini lkn? Na hii option mtu angeitumia hakika angempiga vizuri mhindi maana ilikuwa na point 4