Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Option imeandikwa play under/over, ukichagua under maana yake magoli yasizidi mawili yani inatakiwa iwe 0-0, 1-0, 1-1 au 2-0Yani ipo kwenye option gani m-bet na inatakiwa upate matokeo gain kwako iwe sahihi
Nimekupata barbara maana nimezoea full time...asanteOption imeandikwa play under/over, ukichagua under maana yake magoli yasizidi mawili yani inatakiwa iwe 0-0, 1-0, 1-1 au 2-0
Over ni kuanzia magoli matatu na kuendelea mfano 2-1, 2-2, 3-0, na kuendelea
Walikuwa hawana odds labda wapo waliowafataTimu za Asia zilizokuwa nyumbani Leo zimefanya wonders kama Sio kufuru.duuuu wadau hilo limekaaeje kuna aliyefata.
Ww huchezi?wadau match za kimataifa na za U18,U17,U19 chezeni-NGNG
Nzuri sn hii option uwa inatoaga matokeoNimekupata barbara maana nimezoea full time...asante
Option hii nitaanza itumia kwakuweka mzigo aisee option nzuri hadi nafurai aiseeNzuri sn hii option uwa inatoaga matokeo
12 option gani?One two mic check...
Ashinde yeyote kusiwe na sare12 option gani?
Kamkeka kangu ka under bado kanapumualeo nimetoka hivi, naona hiyo ya kwanza under imetoka mechi imeisha 0-0 mkeka bado unasoma ndio uzuri wa option hii
Nakuombea mkuu maana katula sanaKamkeka kangu ka under bado kanapumua
Ft: malta 0-0 moldora -under
Ft: estonia 0-0 norway - under
Huu ndio uzuri wa under, ingekuwa ushindi wa kawadia, au wafungane au yoyote ashinde mkeka ungekuwa ushachanika.Nakuombea mkuu maana katula sana
Ndio betting hiyo kakaMhindi atabiriki jamaniii anatupiga za uso kweli kweli sasa hv ntakua nacheza single hata ya buku kwenye mkekabet maana hakuna namna yani mkeka wa laki mbili umechanwa na timu moja ya russia (u21) kwa kutoa draw buku langu likaenda.
Pole sanaNdio betting hiyo kaka