Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nyie endeleeni sio kila siku, dah Spain Na Italy draw niliweka Spain Na wales ka draw Na Scotland kashinda nimeharibu kweli, bahati huwa naweka kiduchu Tu bora ningerafuta za kufungana tu. Sichezi ILA ujerumani kushinda Na kufungana tafuta nyengine moja weka double.
 
tupiamo ka picha/screenshot kuwaonesha wadau kwamba inawezekana
Hata Mie nimestukia wengi wazushi hawataki kusema ukweli wakishindwa Na wqkiweka bet slip wanaweka sio yakuonyesha pesa kalipwa ya ushindi! Kuna mawili wana lose au wanawatangazia wenye soko.
 
Hapo vp wadau,
 

Attachments

  • 1458888642861.jpg
    34.1 KB · Views: 47
Algeria
Mauritania
Tunisia
Guinea
Mali
Brazil
Ivory coast
Mexico
ALL WIN
Jamaica 2-4
Guatemala 2-4
Nigeria GG
Haiti 2-4
 
Natafuta hela ya lunch tu hapa maana Argentina jana kanipoza machungu.

Melbourne Victory Vs Western Sydney mechi inaanza saa tano na dk arobaini.

Nimeweka kila timu ipate goli.
Odds ni 1.63 Stake 200,000. Returnbaada ya kodi ni laki tatu faida ni laki moja

Naendelea na majukumu huku nikisubiri msg ya Mkekabet.
 
Sasa kama nimeweka mechi niliyoibet na wewe una uhakika hiyo mechi ipo na nikakupa option niliyoweka na baadae matokeo si unayaona mwenyewe ili kujua kama nimekula au nimeliwa?

Kuna mtu kasema eti tunatangaza soko wakati mechi tunazozibashiri zinaonekana zipo huku si kukatishana tamaa tusipeane experience?

Hivi ukiliwa huwa unapewa msg?
 
mkuu naona dalili nzuri, mi nimeuchelewa naona akisawazisha huyo waaway tu kitu kinajipa
 
Wa kusoma kwenye home team naona kuna mchezaji anaitwa rashid mahazi sio mbongo kweli huyo?
 
mkekabet nao wameanza ubabaishaji nini maana nime deposit hela zaidi ya nusu saa sasa siioni online
 
Hahahaaaa! Bro kama angekuwa mbongo na anchezea ligi kuu ya Australia tungekuwa tushampa unahodha wa Taifa stars na kiwanja Mbezi beach hata kabla ya Sammata
 
Hahahaaaa! Bro kama angekuwa mbongo na anchezea ligi kuu ya Australia tungekuwa tushampa unahodha wa Taifa stars na kiwanja Mbezi beach hata kabla ya Sammata
Asili yake ni kenya kumbe ila ndo ni raia wa Australia
 
Mkuu matumaini ya kila timu ipate goal yanazid kufifia Melbourne anamdindia andaa ambulance wakuwaishe muhimbili kabla presha haijapanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…