Yaani watu wa humu ndivyo walivyo. Jana nimeweka mikeka miwili humu asubuhi. Hamna aliyekoment, usiku nimekuta mikeka yote nimeshinda hlf mtu ananiambia eti tutaaminije? Duh!Ukweli wengi wananufaika na post zenu wakila hawasemi ila wakiliwa wanaanza manenoooooo daaa
Wekeni mikeka wakuichukua watachukua tushirikiane la sivyo kila mmoja atakufa kivyake sio ishu mazeeYaani watu wa humu ndivyo walivyo. Jana nimeweka mikeka miwili humu asubuhi. Hamna aliyekoment, usiku nimekuta mikeka yote nimeshinda hlf mtu ananiambia eti tutaaminije? Duh!
Tunakoelekea humu tutaanza name Calling au mhindi anaweza kutufungia akiona tumeungana sana na tunampiga ndio anaweka watu humu tunaanza kushambuliana kama wajenzi wa mnara wa babeli.
Mda mfupi tu baada ya mechi zote za mkekani kuisha.Jamani niulize hivi malipo ya meridian kwenye akanti yanaingia baada ya mda gan ukisha win mkeka.sio kutoa
Sasa mkuu hebu pitia hapo juu uone nilichoandka na mpaka sasa sijaelewa yanMda mfupi tu baada ya mechi zote za mkekani kuisha.
Wadau naomba msaada hapa inamaanisha nin nilibet multbet zikashinda zote 12/17 na ndo nilibet hivyo hivyo mkeka ukasoma 1810000 hiv leo asubui nakuta hivView attachment 333418
Asante, kumbe nawalazimisha kana kwamba nashika line zenu. Siweki tena mkeka humu ila nitaendelea kuwa nchangiajimr naomba hii ishu kuhusu wakusoma naomba tuachane nayo aisee naona inaendelea kitu kimeshapita kimepita kila mtu afanye yake anaetaka kufata mikeka yake afate usietaka potezea ila tu nacho muomba asiwe analazimisha watu kubet timu fulani kila mtu afanye mahamuzi yake ni hayo tu
Asante, kumbe nawalazimisha kana kwamba nashika line zenu. Siweki tena mkeka humu ila nitaendelea kuwa nchangiaji
wajinga wanacopy kila ktu acha waliwe.Tulishasema sana humu Bet what you afford to lose. Copy timu usikopi stake
Ngoja nilete ya leo
Wakati mwingine bora uweke akiba ya maneno leo wakusoma unaondoka juzi sijui mtoto wa nzi kasepa daaa huu uzi soon utabaki mtupu
Mkuu leta tips??? Usibishane Sana na mbongoMara ya kwanza mlisema WA KUSOMA ni wakala habeti anatupoteza, nikaleta ushahidi ninavyoliwa na ninavyokula.
Naomba niseme maneno haya
1. Wenyewe mlisema mtu asiweke stake au hela aliyokula hapa tupeane tips tu na matokea
2. Kabla ya kuweka hii niliyokula nilianza kwa kuweka mkeka wangu kuomba ushauri. Unashindwa nn kuangalia nyuma kama nilivhopost ndicho nilichokula?
3. Na kama mkeka nimeukata lkn hizo timu tano zote nimezipatia hivi kuna ulazima na ww ubeti kama nilivyofanya? Vipi kwa aliyenifuata akachambua timu baadhi tu hapo si amekula?
4. Kwa maana hiyo sioni haja ya huu uzi tunakosoana na kuchimbana mikwara mpaka mtu anakosa amani. Bora nicheze kivyangu wabongo hamuishiwi maneno
Wazee mi mgeni wa haya mambo ila jana nilijaribu kutupa karata ila kwa kusaidiwa ushauri na watu,niliweka mkeka wa timu zifungane sasa na kweli zimefungana,kinachonisumbua ni kujua kam timu ikifungwa 1-0 nayo inahesabika kua zimefungana,naomben msaada hii kitu kufungana ina maana gan?asanten.
View attachment 333499 Tushindwe wenyewe leo. Huu hapa mkeka wangu wa tatu. Tukumbushane baadae
[emoji15] [emoji15] [emoji15]weekend nataka niiwekee mzigo kwa team 2 za league || France afu nachukua na za uholanzi mbili zitoe1+ first half afu namalizia option ya 2+ kwa team 2za ubelgiji.