Wakusoma ?Mimi jana nilishituka nikawapa over 1.5 Monaco na Sparta
Naomba unipe ufafanuzi kwenye Under/ over kwenye Mkekabet.leo nataka niweke hii ya under /over ila sina ujuzi wa hii kitu.
mm pia sna ujuzi ndio nasubiria wanaojua kutupa ujuziNaomba unipe ufafanuzi kwenye Under/ over kwenye Mkekabet.
Okay ngoja wakujemm pia sna ujuzi ndio nasubiria wanaojua kutupa ujuzi
Tolea maelezo Under /over hyo 1.5kwa wale wadau wenzangu ambao hatutaki pressure za kubet, tuna bet for fun, huwa tunafanya hivi
View attachment 334173
Liverpool v TottenhamJamani liva na tot vip odds zinatamanisha nimweke nan win
watafungana goli mbili au zaidi ni over 1.5, watafungana chini ya goli 2 ni under 1.5Tolea maelezo Under /over hyo 1.5
Under/over mkeka bet ziko mfano 0.5 goal zisiwe zaidi ya moja. Yaani magoli yawe 0 mpaka 1 kwa dakika90.Naomba unipe ufafanuzi kwenye Under/ over kwenye Mkekabet.
Double chance ndo ikoje TataChagua 3 au 4 ktk hizo weka mzigo
Watakuja wacheza kamari wenzako, wengine hatujui makitu hayoWazima wana JF
Naomba kusaidiwa namna nzuri ya kubeti mchezo wa mpira kwan hadi sasa hiv ligi zinaelekea ukongoni sijawahi kushinda hata siku moja. Huwa nafikiri labda huyu mhindi mchawi coz kila nikielekea kushinda utaona timu moja inaharibu. Tafadhali nisaidien kama kuna mtaalamu wa hii kitu nataka nimfanye mbaya mhindi kwenye euro 2016. Usinishauri eti niache ni kitu ambacho siwezi kabisa yaani kubeti kupo damuni sijui kama nitaacha hata siku moja.