Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kafanye kazi acha ubwege.
 
Sioni mantiki hapa kwenye hili jambo la kamari, umepoteza eh ukapoteza eh na uzidi kupoteza ndo kamari ilivyo ni kuliwa tu mpaka akili ikae sawa, na utazidi kupoteza na siku ukambahatisha mhindi utaenda tena ukidhani utakula tena na ili uendelee kula utazidi kucheza kamari hapo sasa ndo utazidi kuliwa tena na tena, mchezo wa kamari ni zaidi ya kuwa risk taker nchi zinazoendelea kwenye kamari za ku-bet bado huu mchezo sio mahali pake maana ni kuliwa tu mpaka unakuwa masikini zaidi, ni vyema vijana tuwekeze pesa zetu kwenye vitu vya maana hata kama payback period ni long term,
 
acha hyo makitu kabisaa ingawa hutaki kusikia kwa kuwa umeliwa sana bt acha acha achaaa...ukishindwa kabisa fanya hivi...kila jumamosi weka timu mbili tu kali kama vile barca na bayern halafu weka hela ndefu kuanzia elf 50 hapo utarudisha pesa uliyoliwa kwa muda mfupi...lakini ACHA HII MAKITU ACHA KABISA KWANZA NI DHAMBI
 
cheza 2+, hata kama odds total ni 1.2, tupia 10k, hutakosa hesabu ya bos wa bajaji kila siku, ila chambua vizuri kabla, na singles ndo mpango mzima, kama stake unawekaga 0.5k halafu unataka kupata milioni, sahau
 
Kuna watu wanajifanya kubet ni zambi,wakati wao Wanazini,wanapotosha jamii,,wewe ukiwa unakunywa bia,sisi ulevi wetu ni kubet,kwanini sisi utuone ni wakosefu nawewe ni mtiifu?

Nilikua jobless,nikaanza kubet kwa 1000,paka leo hii nina biashara kubwa tu chanzo ni kubet,,

uliye post huu uzi,tumia njia zifuatazo ili umkalishe muhindi,usipende hela kubwa kwa mkupuo,ila chukua 5000,igawe sehem5 yaan toa mikeka5 ya bukubuku,,kila mkeka uwe na mechi 2,


pia chagua zile timu ambazo odds zinashabiana ambazo znaanza na 2,usicheze ligue maarufu,cheza Seria B,Austria nk

katika hyo mikeka5 kwa timu 2 kila mkeka,huwez kukosa mikeka3+,,,,mtaji utakua tu
 
Anauliza nn huy ajua kwamba hii nia kamar nin au ajui kama kamari kuna kula na kuliwa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mbon anachekesha walio nuna aiseeee
 
Wadau Leo natoka hivi Malmo win barc win debby win live win psv win mawazo yenu tafadhari
 
Kuna jamaa waliwekeana ahadi ya kupeana 'tigo' mbele ya ushahidi. Baada ya matokeo, aliyeshinda anadai tigo yake seriously lakini aliyeshindwa akadhani ni utani. Hali ilkuwa mbaya hadi ugomvi kuamuliwa ikawa mwisho wa urafiki wao na mwanzo wa uadui. Kwa hiyo wee endelea kubet tu hako ka tecno kako kakienda ndo utajua kwamba huo ni mchezo mbaya.
 
hivi wadau nyie meridian inafaanya kazi maana kwangu ni mauza uza toka asubuhi
 
hata kama kiwango cha chini kubet ni 100 sifati hii treni.
psg lose???
 
Mfano hapa chini nilibet (live betting) kwa GBP 10 (Pound 1 = Shs. 3200) nikapata pound 202 kwa kuchumoa dakika za mwisho kabisa kabla mechi hazijaisha (bet365 wanakupa option ya kuchukua chako mapema kama mchezo umefikia hatua ambayo haueleweki na umeshafikisha ushindi wa point nyingi) wao wanaita "cash out". Ukitaka namna ya kubet kwanza hakikisha atm card yako (mastercard) imewezeshwa kufanya online transaction then unaweza kudeposit kwenye account yako. Kitu ambacho utatakiwa kufanya ni kujitambulisha na vitambulisho vyako kama vile vitambulisho vyo kupiga kura au lesseni na bank statement au bill yeyote yenye jina lako au by any means, wana kitu wanaita Know Your Custome (KYC).


 


Mkuu naomba unielekeze vizuri jinsi ya kujiunga na hawa jamaa,process nzima iko vip?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…