Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu naomba unielekeze vizuri jinsi ya kujiunga na hawa jamaa,process nzima iko vip?
Jiunge bet365 (wana huduma nzuri dunia, halafu pia wanaweza chati na wewe muda wowote ukawauliza chochote wanakupa jibu zuri tu) na Bank yenye card zinazoweza kufanya mihamala ya kimtandao kisha weka pesa yako unataka uanze kurushia kwenye account yako bet365 (unaweza kufungua account ya shilingi (exchange rate inahusika) au dollar au pund au euro n.k. kisha anza kula pesa za kigeni.
 
KAMA UNAKIFUA FATA
PSG VS NICE (X2)
RENNES WIN / GG
STOKE CITY WIN
JUVENTUS WIN
 
Chelsea na Celtic mambo mazuri leo kuna dalili ya pesa
 
Changanya na akili yako;

*Perugia
*Arsenal
*Chelsea

*Rochdale
*Accrington
*Livingstone


*Clyde
*PsG
*White star brussels

*Legia Warszawa
*Celta Vigo
*Club brugge

Haya tuonane baadae livescore.....
 
Chelsea na Celtic mambo mazuri leo kuna dalili ya pesa
Chelsea alikuwa na 1.7 na celtic 1.5 watu tuliogopa kufata...mimi nimeweka hivi:
Mancty win
Cagriary win
Liverpool win
Hully city win
Mainz05 win
Stake 10 napata TZS250,000 nipo sehemu nakunywa bia ...baada yalikizo ya week 2
 
Doing any business u have to be a risk taker...madrid ana point 5 ...can we take a role? Japo hata 10,000 kwa team moja
 
meridian bet lose pu***zao kila wikend site yao inasumbua na sijui tume ya michezo ya kubaatisha inasubiri nini kuwatimua hawa watu kama wameshindwa kazi haiwezekani siku nzima mara player not found mara error??aghriiii!!1
 
meridian bet lose pu***zao kila wikend site yao inasumbua na sijui tume ya michezo ya kubaatisha inasubiri nini kuwatimua hawa watu kama wameshindwa kazi haiwezekani siku nzima mara player not found mara error??aghriiii!!1
hhhaha mzee wa makorokocho usijekutoboa screen yako bure hapo.

ila umepotea kaka karibu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…