leo weekend ime kaa poa naonaBooom
Kaka ulipoteaBooom
Ndo najiuliza hapaKaka ulipotea
mfano mtu ukaweka OVER 1.25 halafu mechi ikaisha 1-0 hapo mkeka umechanika??
Sijajua jinsi ya kubet nielekezeni wazee wa kubet
Acha ufala wewe. Kwani mimi nikiweka stake ya 5000 kuna tofauti gani na wewe usiyecheza kamari unakunywa pombe. Mimi nikiweka cmwekei mtu na nategemea kupata. Wewe ukienda baa unakunywa wewe afu unawanunulia na wengine na hutegemei kupata.Sioni mantiki hapa kwenye hili jambo la kamari, umepoteza eh ukapoteza eh na uzidi kupoteza ndo kamari ilivyo ni kuliwa tu mpaka akili ikae sawa, na utazidi kupoteza na siku ukambahatisha mhindi utaenda tena ukidhani utakula tena na ili uendelee kula utazidi kucheza kamari hapo sasa ndo utazidi kuliwa tena na tena, mchezo wa kamari ni zaidi ya kuwa risk taker nchi zinazoendelea kwenye kamari za ku-bet bado huu mchezo sio mahali pake maana ni kuliwa tu mpaka unakuwa masikini zaidi, ni vyema vijana tuwekeze pesa zetu kwenye vitu vya maana hata kama payback period ni long term,
Acha ufala wewe. Kwani mimi nikiweka stake ya 5000 kuna tofauti gani na wewe usiyecheza kamari unakunywa pombe. Mimi nikiweka cmwekei mtu na nategemea kupata. Wewe ukienda baa unakunywa wewe afu unawanunulia na wengine na hutegemei kupata.
Mkuu ni vema ukatuacha na ukaendelea na wew na investment zako akili ni nywele kila mtu na zake
Vipoint vidogo vidogo huwa naviogopa sanaKidogo sasa hivi Nina ahueni. naona Dortmund kashafanya yake
Tayar Dortmund ashafanya us..ngeVipoint vidogo vidogo huwa naviogopa sana
Hizi odds ndogo hatariiKidogo sasa hivi Nina ahueni. naona Dortmund kashafanya yake
Pole mkuu...Tayar Dortmund ashafanya us..nge
Afadhali ameshindA sababu ningemchukia mpaka mwisho Wa ligi .Tayar Dortmund ashafanya us..nge
Ipi nzuri hapo kwa ku betMeridian
Premier
Mkekabet
Au
Mbet?