Mimi ndo maana nakufa na betpawa tu kuhusu bonus wapo vizuri labda option zao tu ndo tatizo.Wameshaona watu wengi hawapigi hesabu ndio maana wanawatapeli kwa udanganyifu.
Jana nilitafuta game 5 wakaniogezea bonus ya 15. Sasa baadae kuja kupiga hesabu baada ya kuwin nikaona wamefyeka bonus.
Morning bro, tushushie treni la weekend tunalisubiri kwa hamu Chief.Porto ashinde au magoli yawe chini ya matatu.
So likitokea mojawapo kati ya hayo kwangu nitakuwa nimeshinda.
Football naichukia sana. Yaan dk nyingi magoli machache. Jana nimechoma mikeka kama 6 hivi.Unapata mtaji kwenye basket unaenda kujifilisi kwenye football yaani huu mchezo ni wa kishenzi sana
Una uhakika na usemacho??, betting sio rahisi hivyo. Unachoona na won tu ila behind kuna kipigo kizito mno.Wanigeria wanasuka majamvi[emoji119], watu ni odds 1000+ na zinatoboa wanambutua iyo sportybet sio poa
Mbona hela ulizoshinda hazina muachanishe au koma????juzi nimegombana nao sportpesa kinyama kuhusu bonus wanayoweka kwenye text,
View attachment 2116885
hii ndio hela niliwin pamoja na bonus ila kutoa wamenipa 575000 bonus wameondoa.
ni wahuni ni basi nipo mbali ningeenda ofisini kwao.
Bora niachwe tuMkamaria Marco Piemonte amegoma ku-cashout mzigo anasema mke wake kamwambia aki-cashout anamuacha [emoji23]
Super Bowl mwaka huu itakuwa ya moto sana watu wamejilipua mizigo ya maana, LA Rams wajikaze.View attachment 2116695
Jamaa yangu kumbe na wewe umeliona hilo la sportpesa hawa jamaa ni wezi kabisa, hususani kwenye upande wa magoli wanabana option kabisa hawana tofauti na betpawa hawa jamaa.Makampuni ya kubeti ya kitanzania yameshaona watu wanaobeti hawana akili kabisa, hajasoma na hawajui hesabu.
Wasafibet wanakata 20% badala ya 15% wakati mwongozo wa bodi upo wazi.
Sportpesa wao wameamua kuwadanganya watu wazima, kadri unavyoongeza timu wanakuongezea bonus.
UKWELI NI KUWA
Bonus ni fekelo, hupewi hata 100. Wameshaona watu hawapigi hesabu basi na wao wanatumia mwanya huo kuwapiga. Na ndio maana kuna hadi kampuni zinaitwa pigabet coz washaona fursa.
Mfano leo kuna game option ya over 1.5 haikuwepo, walianzia na over 2.5. game hiyo hiyo kampuni za nje hadi over 0.5 ilikuwepo.
Kibaya hiyo game imeshindwa kutoa over 1.5.
Source?Wanigeria wanasuka majamvi[emoji119], watu ni odds 1000+ na zinatoboa wanambutua iyo sportybet sio poa
Sikupingi..kule twitter na telegram hawa jamaa wana balaaa sana.Wanigeria wanasuka majamvi[emoji119], watu ni odds 1000+ na zinatoboa wanambutua iyo sportybet sio poa
sijui wao sportpesa
Una uhakika na usemacho??, betting sio rahisi hivyo. Unachoona na won tu ila behind kuna kipigo kizito mno.
Source?
Sikupingi..kule twitter na telegram hawa jamaa wana balaaa sana.
Naomba link au group name la telegramSikupingi..kule twitter na telegram hawa jamaa wana balaaa sana.
leta jina la group hata moja huko telegram au Twitter tunaweza jifunza kitu kwa hao wanaigeriaHatari , wajinga wanafukuza odds sio mchezo watu wako serious na huu mchezo aisee