Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nalala nasubiri meseji ya hongera kutoka betika!! Hizo zilozobaki labda kanji akatoe kafala bombay, kichapo kiko palepale[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nalala nasubiri meseji ya hongera kutoka betika!! Hizo zilozobaki labda kanji akatoe kafala bombay, kichapo kiko palepale[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2117704
hawa jamaa huwa wanalipa ukiwala?!!...huwa nasikia ukishinda huwezi kuwithdraw hata uende kwa mganga wenyewe wanaruhusu kudeposit tu hata iwe bilioni 300 ila kutoa big NO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…