Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
mkeka kama huu ukikubali basi dunia inakuwa mahali salama kabisa pa kuishi bila stress!
zima tu huku hakuna cashout wala sellMuda ukifika nazima simu.View attachment 2146112
Kwakweli zima[emoji119][emoji119][emoji119]Muda ukifika nazima simu.View attachment 2146112
Ume STAKE????Muda ukifika nazima simu.View attachment 2146112
Mapema tu.Ume STAKE????
Barcelona viazi kweli.Muda ukifika nazima simu.View attachment 2146112
Huyu Barcelona nae kawa mdebwedo kweli kweliTuna test mitambo BCF2XT1
Kwahiyo inaruhusiwa kumbe kubashiri matokeo aina mbili kwenye game moja?Mfano wa mechi
Simba vs Dodoma Jiji
simba anaandikwa 1 kama timu ya nyumbani
Dodoma Jiji anaandikwa 2 kama timu ya ugenini
ukibeti ukaandika 1 maana yake timu ya nyumbani ashinde
2 maana yake wa ugenini ashinde
x itoe suluhu
12 maana yake nyumbani au ugenini ashinde
1x maana yake wa nyumbani ashinde au adraw.
2x... (jaza mwenyewe)
Ndio wewe tuKwahiyo inaruhusiwa kumbe kubashiri matokeo aina mbili kwenye game moja?
Hapana unatumia mawakala kuweka na kutoaHivi nikishinda na wenyewe wananiingizia hela account yangu ya simu kama Wasafi walivyoniingizia elfu 90 yangu
Mawakala wanapatikana wapi? Pia naomba kujua tofauti ya wasafibet na kampuni nyingine. Coz Mimi nimeanza kubet hivi karibuni lakini nimejikuta nawatumia wasafibet.Hapana unatumia mawakala kuweka na kutoa