Mmmh katokaje?Mbwa huyu bora angefungwa tu kakimbia na keka langu la tokea jnne mshenzi kabisa na wasichukue kombe lolote mashetani hawa
Siku hizi timu zenye majina makubwa zinaelekea kuchoka kabisa!Bayern naona kabisa anatembea na kapu la pesa za vikoba.
Ulivyo sema una mtia Diamond hasara ambayo hatakuja kusahau nikajua ni million 100 n kuendelea kumbe ni laki 3.Leo nikikosa kupiga laki 3 navua nguo. Bado game moja tu ya Blackburn nimtie Diamond hasara ambayo hatakaa aijutie kamwe. Kama kawaida yangu, stake 1000 odds 300.
Hakikisha "ukivua unapita humu tukuone"Leo nikikosa kupiga laki 3 navua nguo. Bado game moja tu ya Blackburn nimtie Diamond hasara ambayo hatakaa aijutie kamwe. Kama kawaida yangu, stake 1000 odds 300.
1-1 shenzi kabisaMmmh katokaje?
Timu ya ugenini ishinde au timu isifungwe goli hata moja.AWAY TEAM OR CLEANSHEET maana yake n nn?
Amesema away team mkuuTimu ya nyumbani ishinde au timu isifungwe goli hata moja.
Nafikiri team ya ugenini ishinde au temu yeyote amfunge mwenzake pasipokurudisha gori. Wacha wajuzi wajeAWAY TEAM OR CLEANSHEET maana yake n nn?
Nikisema AWAY TEAM OR GG/NG --- NOTimu ya nyumbani ishinde au timu isifungwe goli hata moja.
Wa ugenini ashinde lakini wasifungane. Haina tofauti na clean sheetNikisema AWAY TEAM OR GG/NG --- NO
Maana yake n nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635]Fulham alikuwa ameshikilia mikeka yako 600+ [emoji1787][emoji1787]
Daaaah jamaa akimkuta Toney anaweza mpiga bastola ya kichwaMtu kapigwa 500k mpira unamaajabu sana [emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 2148237