Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Nilidhan peke yangu mi timu Kumi kazingua Fiorentina tuujana inter na fiorentina wameniboa kweli. muhindi alikua aliwe m3. ngoja warudishe mtaji mda si mrefu nijilipue tena kwa ac milan, rivel plate na hjk helsink
Mkeka uko ap mzeeMie nimekula laki 8 meridian bet.
Mie nimekula laki 8 meridian bet.
Mie nimekula laki 8 meridian bet.
Nataka nikuulize kitu Buddy
Karibu mkuu ..
nabet kupitia meridian ila online, vipi kutoa pesa hawasumbui ? na lazima nikatolee makao makuu ?Karibu mkuu ..
nabet kupitia meridian ila online, vipi kutoa pesa hawasumbui ? na lazima nikatolee makao makuu ?
Tuache aseee tushavurugwa ..... Kafanye yako ya msingi ....hiv mnazan kanjibay babu yenu eeh et uweke jero uje ushinde laki s ujinga huu
Mkuu, Hiyo "Mkekabet" app yake ipo Playstore?? Au naipata wapi? Ili nijunge nayo?
Mi meridianbet siitumii mara nyingi, kutoa hela haisumbui lakini tatizo inachukua muda mrefu muamala kukamilika na kuja m-pesa. Ni zaidi ya saa 5.
Mimi natumia mkekabet, yani kuvuta hela ni fasta (hazifiki dk 5).
Mkeka haipo play store iko kwenye browserMkuu, Hiyo "Mkekabet" app yake ipo Playstore?? Au naipata wapi? Ili nijunge nayo?
Mkuu, Hiyo "Mkekabet" app yake ipo Playstore?? Au naipata wapi? Ili nijunge nayo?
Aiseh kumbe umechanika na aliyeuchana ni Roma,nilipewa maelezo ya uongo na mtoa mikeka.Pozi lote limeniisha..Sure #Upendodaima, jana mambo hayakuwa mazuri, wasaliti walikuwa wengi daaah! All the best kwenye huu mkeka wako. Hela inanikia hapa ..
Aiseh kumbe umechanika na aliyeuchana ni Roma,nilipewa maelezo ya uongo na mtoa mikeka.Pozi lote limeniisha..