Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimetulia ghetto nachambua zangu team za jumamosi. Jumamosi namuua mdosi
 
Hivi match result second half maana yake nini?
Kwa mfano HT ilikua 1-0 ,then ukasema match results 2nd half ukaipa ya nyumbani then mechi ikaisha 1-0,unakua umekula?
 
me hadi saiz naumia2 roho inaniuma sana, team7 jana kaniua fiorentina roho iliniuma sana maana niljua uhakika aubuh napitia livescore nakuta fiorentina kafa bas 295000 ikapepea ilee akat nilishapanga na kabajet kangu.

Haukuwa peke yako mkuu mi timu kumi
 
Kuna mwana humu ndani niliona anasubir arsenal na ac Milan avute laki 9, ila ndio hvyo ac Milan hana dhamana. Ndo kamari hii mwanangu tuzid kumtafuta tu huyu kanjibaa
 
Kuna mwana humu ndani niliona anasubir arsenal na ac Milan avute laki 9, ila ndio hvyo ac Milan hana dhamana. Ndo kamari hii mwanangu tuzid kumtafuta tu huyu kanjibaa
Leo Kanjibah, katupiga.Zamu yake leo.
 
wadau jana muhindi katukamata kweli kweli. mikeka kumi yote kapa. Ngoja nijilipue na mechi za mchana nione kama leo UPAKO upo au yaleyale tu nisubiri tu jmos na jpili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…