Naacha kubet timu za ufaransa mpk zifike mechi 10
Hebu tupieni hizo mikeka ya leo tuone maa a ya jana chali kisa psg na real
Hahahahaaa polen wakuu acheni kuweka mikeka mirefu weka timu 2 tu zinatosha nina uwezo wa kuwa nawapatia timu 2 kila siku zitakazoshinda kama mtataka ntaweka hapa za kesho normal 2 na cap 2
sijawahi kuona mtu kaja Hapa na kusema kawin.. ! kila mtu hoja zinafanana... mkeka kuchanika tuu . ! ina maana hawa wahindi wanapanga mechi au , haiwezekani kati ya watu 10 hata mmoja asiwin.
Timu twaweka nyingi sana ndio maana twaliwa kila siku.
Afu kingine timu zinazingua kishenzi. Eti PSG anadraw na timu ilitopewa odds 8
Wakuu natafuta tale Maelezo ya KuBet online ! Kupitia Meridia Toka Jana Sipati ! anayeweza tuwekea hapa atakua ametusaidia ! tupo wengi tunaouluzia.
Ngoja nitumie experience yangu, kwanza inatakiwa uwe na email, unaweza kujiregister online kwa kufungua website yao meridianbet.co.tz na kufuata maelekezo lakin ni vizuri ukaenda kwenye branch zao ( inategemea mahali ulipo),ni kitendo cha muda mfupi then unadeposit mpunga wako, boooom!! you are good to go.
Jamani PSG ananiua hivi hivi !
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
yaani cha muhimu ni kuelewa Ligi husika , haya Maswala ya Kufuata Ods ni ya kijinga .! Pili ni kweli kama unavyosema , bora invest pesa ya kutosha kwenye mechi chache.. ! haya Matimu mengi yanaua. ! mkeka Mrefuuu timu moja inakuha kuuchana wote.