Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hebu tupieni hizo mikeka ya leo tuone maa a ya jana chali kisa psg na real

sijawahi kuona mtu kaja Hapa na kusema kawin.. ! kila mtu hoja zinafanana... mkeka kuchanika tuu . ! ina maana hawa wahindi wanapanga mechi au , haiwezekani kati ya watu 10 hata mmoja asiwin.
 
Timu twaweka nyingi sana ndio maana twaliwa kila siku.
Afu kingine timu zinazingua kishenzi. Eti PSG anadraw na timu ilitopewa odds 8
 
yaani cha muhimu ni kuelewa Ligi husika , haya Maswala ya Kufuata Ods ni ya kijinga .! Pili ni kweli kama unavyosema , bora invest pesa ya kutosha kwenye mechi chache.. ! haya Matimu mengi yanaua. ! mkeka Mrefuuu timu moja inakuha kuuchana wote.
 
Wakuu natafuta tale Maelezo ya KuBet online ! Kupitia Meridia Toka Jana Sipati ! anayeweza tuwekea hapa atakua ametusaidia ! tupo wengi tunaouluzia.

Ngoja nitumie experience yangu, kwanza inatakiwa uwe na email, unaweza kujiregister online kwa kufungua website yao meridianbet.co.tz na kufuata maelekezo lakin ni vizuri ukaenda kwenye branch zao ( inategemea mahali ulipo),ni kitendo cha muda mfupi then unadeposit mpunga wako, boooom!! you are good to go.
 
Thank you , ni bora kwenda waliko ! Coz hata hiyo website inafunguka issue nyingine kabisa .. not For Tz !
 
Arsenal leo anaweza asishinde kabisaaa, hivyo tusijidanganye kumuwekea.
Kuna timu nahisi wakifix mechi jana kwani walifungwa 3 ndani ya dakika 20 na hiyo timu ndo yaongoza ligi
 
yaani cha muhimu ni kuelewa Ligi husika , haya Maswala ya Kufuata Ods ni ya kijinga .! Pili ni kweli kama unavyosema , bora invest pesa ya kutosha kwenye mechi chache.. ! haya Matimu mengi yanaua. ! mkeka Mrefuuu timu moja inakuha kuuchana wote.

Yan mi niliweka team 5 cha kushangaza team ya mwsho imenkosesha hela
 
Sasa hivi majanga ngoja nkaone megamix ya muhindi inasemaje
 
Natia timu 4 tu, mbili za leo na mbili za kesho then natambukiza pesa ya kutosha
 
Wadau leo tupieni timu hizi mbili
Zenit
Chelsea
Halafu tia mpunga mrefu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Salzburg,Rangers,Zenit na Chelsea ndo mpango wa leo.
 
mkeka.png
 
Mi leo mkeka mmoja nawaua
Manchester
Dotmund
St. Etienne
Naweka buku tu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mie nakufa na Newcastle yangu
 
Attachments

  • 1408790930107.jpg
    1408790930107.jpg
    66.1 KB · Views: 89
Back
Top Bottom