Mkuu uliwekeza ngapi?Ushahidi wa message huu hapa mkuu
Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh 1,078,606. Umepokea TSh 1,068,285 kutoka kwa M Bet MFI, kumbukumbu ya malipo. MFICI.160501.1019.W3890753681. 01/05/16 10:19.
Bet most maza fantaro LASK inzi mkubwa weweLASK Linz win
MSK Zilina win
Bari Over 0.5
Bet lost[emoji36] [emoji57]MVV 2+
Liefering win
St poulten win
Duh.. bac ngoja na mi nijaribu kutembelea nyot ya watuUshahidi wa message huu hapa mkuu
Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh 1,078,606. Umepokea TSh 1,068,285 kutoka kwa M Bet MFI, kumbukumbu ya malipo. MFICI.160501.1019.W3890753681. 01/05/16 10:19.
Ushahidi wa message huu hapa mkuu
Hamisho la pesa limekamilika. Salio jipya TSh 1,078,606. Umepokea TSh 1,068,285 kutoka kwa M Bet MFI, kumbukumbu ya malipo. MFICI.160501.1019.W3890753681. 01/05/16 10:19.
Mkuu uliwekeza ngapi?
Hongera sana mkuuu
Hongera sana kwa kumpiga
pole mkuu, kuna timu nyingine nadhani zina betaseeee....... gundu la timu moja limerudi.....
Hiyo ya Chelsea itoe aisee, hiyo ni mechi ya kufa na kupona kwa Sunderland kumbuka.haya bana ...mtoko wa leo ....
iyi mechi n 2+Hiyo ya Chelsea itoe aisee, hiyo ni mechi ya kufa na kupona kwa Sunderland kumbuka.
Vipi option ya 2-6 leo inatoka.?haya bana ...mtoko wa leo ....
Wengi tu.... Ila ndio mchawi anakuwaga katikati....Vipi option ya 2-6 leo inatoka.?