Mkuu hapa sunderland wanakaribia kushuka daraja sijui kama watamruhusu chelsea ashindehaya bana ...mtoko wa leo ....
Ngoja nijaribu germany bundesliga one nimetoka likizoo ndefuWengi tu.... Ila ndio mchawi anakuwaga katikati....
mkuu, single bet kwa meridian sidhani kama ipo.Root mimi naamini hata ukiweka single bet still una probability ya kushindwa but inakuwa ndogo sana
Mkuu una moyo, mpaka Japan? Good luckNatafuta mtaji asbh hii kwa ligi ya Japani. Nimeamua kucheza ngumu kumeza.
1. Kyoto Sanga Vs JEF Utd = Y
2. Tokyo Very Vs Matsumoto Yamaha = Y
Odds ni 4.3 kwa stake ya 150,000/= Nikila faida no 320,000.
Dua zenu jamani hawa watu wafungane mhindi sio ndugu yetu na sisi tukila tunalipa kodi lkn yy akika halipii kodi.
Kwani Japani kuna nn? Hawa jamaa mechi zao zina magoli 2+ lkn kufungana in nadra sana ndio maana unaona odds ni nyingi nawaombea Leo wafungane tu.Mkuu una moyo, mpaka Japan? Good luck
Natafuta mtaji asbh hii kwa ligi ya Japani. Nimeamua kucheza ngumu kumeza.
1. Kyoto Sanga Vs JEF Utd = Y
2. Tokyo Very Vs Matsumoto Yamaha = Y
Odds ni 4.3 kwa stake ya 150,000/= Nikila faida no 320,000.
Dua zenu jamani hawa watu wafungane mhindi sio ndugu yetu na sisi tukila tunalipa kodi lkn yy akika halipii kodi.
Ok mkuu.Kwani Japani kuna nn? Hawa jamaa mechi zao zina magoli 2+ lkn kufungana in nadra sana ndio maana unaona odds ni nyingi nawaombea Leo wafungane tu.
Manchester
Na chelsea zitashinda leo kweli
Japan mmmmh!jipuKwani Japani kuna nn? Hawa jamaa mechi zao zina magoli 2+ lkn kufungana in nadra sana ndio maana unaona odds ni nyingi nawaombea Leo wafungane tu.
Single bet ipo meridianmkuu, single bet kwa meridian sidhani kama ipo.
Huku AU panaitwa poza machungu
Kama kuna mwana jamvi humu bado anawachukulia poa Australia, basi nae ni JIPU tu.
View attachment 345365
kuna game nyingine (chache lakini) zinaanza saa 5, tupia hata 2+ km unaogopa 3+ upate ya weekend.
Wakusoma nakuombea kjana wng, umtusue untoe japo kamtaji ka 2,000. Leo sina mtaji [emoji24]Natafuta mtaji asbh hii kwa ligi ya Japani. Nimeamua kucheza ngumu kumeza.
1. Kyoto Sanga Vs JEF Utd = Y
2. Tokyo Very Vs Matsumoto Yamaha = Y
Odds ni 4.3 kwa stake ya 150,000/= Nikila faida no 320,000.
Dua zenu jamani hawa watu wafungane mhindi sio ndugu yetu na sisi tukila tunalipa kodi lkn yy akika halipii kodi.
Mechi zako zote ngumu... Taffeta nyingineSunderland win
Leceister win
Cardiff win
Nishaulini hapo wachambuzi yupi atoke yupi nimuongeze
Hali in mbaya aise dk. 57 Kyoto 0:0Wakusoma nakuombea kjana wng, umtusue untoe japo kamtaji ka 2,000. Leo sina mtaji [emoji24]