Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimerudi tena kwenye game, leo namuwinda muhindi apite juu apite chini ninae
 
Chalerloi, Bastia, Lyon na ac milan, wamenipa mtaji, ila mkeka mmoja kanitobolea lille, mkimuona huko mtaani mwambie ngese tu
 
Nhoja nichambue za nilete hapa japo sipati wachangiaji lakini Mimi zinanitoa ya sukari
 
huyo Man city huyo game ngumu hiyo ila lolote linaweza tokea.
 
Uoga wako ndiyo umasikini wako. Hembu tuangalie hizi team leo. Nimegundua jumapili ndiyo siku ya bahati
 

Attachments

  • 1462685835732.jpg
    23.8 KB · Views: 33
Kitu hicho ... Kuna mchawi wakupigiwa ramli ajitokeze....tumtoe
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-08-09-00-07.png
    43.3 KB · Views: 31
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…