Duh! Yaani kwa buku umekula laki? Kwa non hukuweka laki moja umuue huyu jamaa mil 10?
Dk ya 40 tu kitu kishasoma 2:1BET WON.
Sadaka imepatikana. Acha kwa Leo niishie hapa.
leo umeua [emoji23] [emoji23] [emoji23]
leo umeua [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Madrid lazima ashinde, chance ya yeye kuchukua kombe bado ipo🙂🙂🙂 Kaka acha kbs, ila na wasiwasi na Madrid ... ngoja niendelee kutathmini.
Madrid lazima ashinde, chance ya yeye kuchukua kombe bado ipo
Game ya Madrid hata mimi na wasiwasi nayo anaweza toa sare 1st halfMadrid na Barca nimewapa ushindi kipindi cha kwanza ... yani wawe wanaongoza at HT.
Ngoja nitoke hivi tu ...
View attachment 345601
Mkimuona mdosi mwambieni leo natafuta hela ya smart TV inch 60 ama zangu ama zake
Man cityLeo Kati ya
Madrid
Man city
Atletico
Barcelona
Kuna mmoja atakufa... Mark my words
hahahahahaMkimuona mdosi mwambieni leo natafuta hela ya smart TV inch 60 ama zangu ama zake