Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah Viking, Tromso 2.98 ml zileeeeeeee
[emoji36] [emoji57] [emoji36]
 
Hodi..... Naombeni odd 3 zinikaribishe kwenye ulimwengu huu wa betting
 
Yan ni hatar mim mwenye naishiaga kuzihusudu nachezaga Mara mojamoja
 
kwa bahati mbaya mbet hawajaweka mechi za ireland
Ndo na mim naangalia hapa nashangaaga sijui hili likampuni limekuja kuwaje. Tatizo liko kizamani sana sijui watu wao wa IT wanafanya nini options za kichoko kishenzi. Jana nlikula mkeka saa 7 mchana ukawa inasoma paid mpaka saa 5 usiku dah.
 
Tokyo win
Kashiwa over/under 1.5
Gamba Osaka over/under 1.5
Mchana mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…