Wanachagua sana mechi za kuweka.... Wanaogopa mno ...hata options ni chache sanambet wahuni
mkuu nimekufataWale wale ...nkawapa tena kipindi cha pili magoli 1-2
Je?barcelona anaeutaka ubingwa maana kwa barca ni must win ili awe bingwa,, ila kwa kua ina odds ndongo ni ya kuachana nayo tu..Jamani Mechi ya Granada na Barcelona ni yakuogopa kama ukoma...maana Granada anaweza akashuka akizingua...
je huyu ambaye akifungwa tena kwake anaenda matopeni?Je?barcelona anaeutaka ubingwa maana kwa barca ni must win ili awe bingwa,, ila kwa kua ina odds ndongo ni ya kuachana nayo tu..
Muue tu barca mkuu itakua barca hawautaki ubingwaje huyu ambaye akifungwa tena kwake anaenda matopeni?
kuna dalili za red star kuchana huu mkekaMungu bariki kazi ya mikono yangu
Yaan hapa nilipo sina hamu, hizi timu za ufaransa zinaonesha kila aina ya dalili ya kuchana mikeka yooote...simama Mungu wetu.kuna dalili za red star kuchana huu mkeka
Djion 2+
Shamrock rovers 2+
Wenye mitaji yao no chance to loose
hatariiiiaseeeee ....
nimesuka wa l0-1 kwa hz timu za asubui nipate hela ya lunchaseeeee ....
Utupie hapa aisee.nimesuka wa l0-1 kwa hz timu za asubui nipate hela ya lunch
Utupie hapa aisee.