Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Umefanya upembuzi yakinifu mkuu?
ndio ww jichagulie zitakazokufaaUmefanya upembuzi yakinifu mkuu?
mkuu hapo nimetupia hela ndogo wakipita nayo amna shidaKaka hizo timu za Australia zitakudisappoint ... bora ungewapa I1+
Daejon ana 2 dakk 13.... Duuuh....asubuhi hivi .... Mbona mikosi
ngoja nikafanye kazi nyingineDaejon ana 2 dakk 13.... Duuuh....asubuhi hivi .... Mbona mikosi
kabla ya kuweka pitia SOCCERVISTA ujirizishe kidogo maana jamaa wapo accurate 80% mimi wameshanipa pesa mara 3 mfululizo.
Nenda kwenye my a/c pale seeme pameandkwa pasonal data shuka mpaka kipengele cha mwisho utakuta namba zako zifute afu weka utakazopenda na kama unatumia mobile vision ibadili ili upate hayo mambo .....HAKIKISHA jina la usajili wa mpesa linaendana na jina unalotumia mpesaMsaada jinsi ya kubadili namba ya simu kwenye account ya meridianbet
Mara nyingi prediction websites ni agents wa Betting companies huwa siwaamini saana japo huwa wanapredict correct baadhi ya mechi....labda kwa mechi ambazo ni ngumu kupata taarifa zao hapo sawa kwa ligi kubwa taarifa ni rahisi zaidi...YOTE KWA YOTE LAZIMA ASAKWE KWA NJIA YOYOTEHii inaweza kuwa msaada mkubwa ... ngoja nitembelee nyota yao leo
Poa mkuu ngoja nicheki inakuajeNenda kwenye my a/c pale seeme pameandkwa pasonal data shuka mpaka kipengele cha mwisho utakuta namba zako zifute afu weka utakazopenda na kama unatumia mobile vision ibadili ili upate hayo mambo .....HAKIKISHA jina la usajili wa mpesa linaendana na jina unalotumia mpesa
Nenda play store download and install googe chrome.Mkekabet unajiungaje maana nimeanza kuweka pesa kwenye ac yao ili nipate pin but mpaka now nna namba za simu,password sina.
kila la kheri mkuu!
mkuu asante sana kwa taarifa hii muhimu sana...ndivyo tunavyotakiwa kushirikiana kutoana kimaisha. ubarikiwe sana.kabla ya kuweka pitia SOCCERVISTA ujirizishe kidogo maana jamaa wapo accurate 80% mimi wameshanipa pesa mara 3 mfululizo.
mkuu hiyo Y ina maana gani? draw au ushindi?Kuna pesa hapa mhindi kalengesha wacha niipitie asbh hii.
1. Manly Y
2. Hakoah 2+
3. Black town 1
Odds ni 4.4
Stake 600,000/=
Possible win M2. 3
Kuna pesa hapa mhindi kalengesha wacha niipitie asbh hii.
1. Manly Y
2. Hakoah 2+
3. Black town 1
Odds ni 4.4
Stake 600,000
Possible win M2. 3
Possible Loss 600,000
Probability of winning 81%