Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau Nina jambo limeniudhi sana jana nilibet timu 13 nikaweka tsh 500 na timu zote nilizobashiri zikashinda leo mbet wananiandiakia mkeka wangu ni invalid wananirudishia 500 kwa kweli nimeshangaa na pesa niliyotakiwa kushinda ni tsh 585,867
 
Hakuna cha normal wala nini msela wa pinda kweli yani kwenye karatasi wala online kauo kote nyambaffu
 
Ninajiandas kuwashtaki Mbet huu ni utapeli mbona mikeka mingine niliyoshindwa wamenikata hela kama kawaida. Nimeanza kukata tamaa na hawa mbet.
 
Wadau Nina jambo limeniudhi sana jana nilibet timu 13 nikaweka tsh 500 na timu zote nilizobashiri zikashinda leo mbet wananiandiakia mkeka wangu ni invalid wananirudishia 500 kwa kweli nimeshangaa na pesa niliyotakiwa kushinda ni tsh 585,867
Una account M-Bet au una bet kama guest?
 
Leo tujioketee hapa
 

Attachments

  • 1463293299095.jpg
    26.6 KB · Views: 53
Jana niliweka mkeka wa team 27 hapa nikasema watu wajichagulie. Kati ya hizo team 24 zilikubali 3 zikagoma ambazo ni

Dortmond
Marseille
Na team moja ya china
Mi nilichagua na Dortmund akiwemo ndani akaninyoosha kama wida,na last week alininyoosha ila wajeda hatuangalii nyuma
 
Watu hawabet kiuhalisia toka moyoni .Watu wanabet kutokana na mapenzi ya timu zao mtu anaona kabisa timu yake haina uwezo wa kufunga lakini yuko radhi atoe hela yake hata ikipotea ni sawa tu hiyo sio maana halisi ya kubet ni kupoteza muda tuweke ushabiki pembeni kwanza .mfano unajua kabisa chelsea na simba ni mbovu lakini bado unabeti nazo maajabu namba 8.
 
Wadau Nina jambo limeniudhi sana jana nilibet timu 13 nikaweka tsh 500 na timu zote nilizobashiri zikashinda leo mbet wananiandiakia mkeka wangu ni invalid wananirudishia 500 kwa kweli nimeshangaa na pesa niliyotakiwa kushinda ni tsh 585,867
wamekukimbia,wapigie simu na kuwaeleza hakikisha umescreenshot mkeka wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…