Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

naanza kujivika mabomu. Rockdale city win, machida Zelvia win 45min and normal, Yokohama fc win normal, ehime draw 45min, roaso kumamoto win normal. Hapo nasoma upako wa siku ya leo.
 
Strictly EPL ...

Man Utd - 1.34
Southampton - 1.33
Sunderland - 4.30
Liverpool - 2.50
------
Total odds = 19.16
stake = 10,000/-

Sijui kwanini sunderland kapewa point nying hivyo wakat mechi za mwisho hizi yuko moto vibaya...au mhindi anataka tumuogope kumfuata?? ila mkuu liver anaweza kuharibu mkeka hapo ila lolote linaweza tokea
 
Hahaha .. asante kwa ushauri, bado sijatupia. Aisee kweli Liver ana Europa finals eeeh??? ... ngoja nimpunguze.
 
Wadau Nina jambo limeniudhi sana jana nilibet timu 13 nikaweka tsh 500 na timu zote nilizobashiri zikashinda leo mbet wananiandiakia mkeka wangu ni invalid wananirudishia 500 kwa kweli nimeshangaa na pesa niliyotakiwa kushinda ni tsh 585,867
[emoji45] [emoji45] [emoji57] [emoji19]
 
nani kakudanganya Chelsea ni mbovu?
 
Villarreal Hana cha kupoteza jamani. Kuweni nae makini. Bora hata Liverpool kwa mbaliiii. Liver na Villarreal ni wa kuwaweka kwenye mkeka mmoja tu, yasije kutukuta ya dortmund jana.
 
Wadau Nina jambo limeniudhi sana jana nilibet timu 13 nikaweka tsh 500 na timu zote nilizobashiri zikashinda leo mbet wananiandiakia mkeka wangu ni invalid wananirudishia 500 kwa kweli nimeshangaa na pesa niliyotakiwa kushinda ni tsh 585,867
Mkuu itakuwa uli submit wakat mechi moja au zote zimeanza, mfano katika mkeka wako kuna mechi inaanza 13:00 ww uka submit saa 12:59 ule muda unaotumia Ku load pale so inakuwa saa 13:00 ishafika ndo huwa inatokea hali kama hiyo mkeka unakuwa submitted lakin uki win au uki lose wanakurudishia pesa ako. Nenda sehem ya terms na conditions kasome utagundua vitu vingi sana huenda pia kosa lisiwe hilo lakin ukisoma terms and conditions utaona tu wapi umekosea.
 
Man city win, palermo win, Malaga win, arsenal win, zenit 2 win, maelekezo wadau kabla sijaweka cha teni.
 
Kubet ni shida kuna jamaa anasema jamaa zake ofisini hawafanyi kazi kwa umakini siku ya mechi tangu asubuhi ni kubet tu.Hili linaweza kuwa janga lingine kwenye uchumi wetu siku zijazo
 
Sijui kwa nini, ila napata hisia leo Swansea anaweza fanya yake ndani ya Liberty Stadium ...
 
Sijui kwa nini, ila napata hisia leo Swansea anaweza fanya yake ndani ya Liberty Stadium ...
swansea amekua na kiwango kizuri kwa siku za karibuni na Man City sio tmu ya kuaminika
 
Ninajiandas kuwashtaki Mbet huu ni utapeli mbona mikeka mingine niliyoshindwa wamenikata hela kama kawaida. Nimeanza kukata tamaa na hawa mbet.
Mbet sio Watu wazuri malipo yanachelewa afu simu hawapokei kwa wakati in fact siwez kutumia company Yao huku Kuna company kibao naumwa !!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…