Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Udinese 2.28
Lanus 2.74
S.Gijon 1.41
Man u 1.39
Man city 1.51
R.Vallecano 1.32
Getafe 1.67
Sporting CP 1.42
West ham 2.12
Fenerbahce 1.32
Besiktas 1.46
Zenit 1.41
ALL TO WIN NORMAL

Odds kwa hisani ya
M bet
Umesha ona odd za numbergy mkuu haaa haa anacheza na kibonde wa mwisho na hajawahi fungwq naye nashangaa kapewa odd 3/..
 
Hiyo match ya Nurnberg nilikuwa sijaichungulia,yaweza kuwa wamejichanganya hao au kucheza na akili zetu,ijapo haina impact yoyote kwa hizo timu japo lolote laweza kutokea
 
Zenit St. Petersburg vs Lokomotiv Moscow
Tip: GG
Odds: 2.20
********************
Kasimpasa vs Mersin
Tip: 1
Odds: 1.20
********************
Genoa vs Atlanta
Tip: 1 (Handcap 1-0)
Odds: 1.20
 
Wekeni magoli leo wadau mambo ya direct win leo ni hatari maana timu nyingi either hazitaki kushuka daraja or hazina cha kupoteza hivyo wanafunguka tu.

Mfano mpaka sasa: Zenit 2 vs Baikal 2-2 dak 37
Malaga vs Las Palmas 1-1 dak 35
Game nyingi zitakuwa hivi leo kama ilivyokuwa jana.Nawatakia bahati njema..
 
Umesha ona odd za numbergy mkuu haaa haa anacheza na kibonde wa mwisho na hajawahi fungwq naye nashangaa kapewa odd 3/..
Paderborn akishinda anaokoka kushuka daraja hapo nibwa mwisho.... Na Nurnmberg alipo hafikiwi na timu yeyote
 
Longtym sana wadau...root,mtoto wa nzi,baharia n.k
 

Attachments

  • 1463309601695.jpg
    79.9 KB · Views: 40
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…