Chelsea Mbovu ila leo hafungwi
Asante celtic unafanyakazi nzuri ila Aberdeen sikuelewi
Unapomuweka Aberdeen hakikisha ni pale unapokuwa huna pressure na huo mkeka. Hatari sana. Above all hii ni bahati nasibu.Asante celtic unafanyakazi nzuri ila Aberdeen sikuelewi
Abedeern kimeo kwenye mikeka yangu yote nimemkwepa kabisaaaUnapomuweka Aberdeen hakikisha ni pale unapokuwa huna pressure na huo mkeka. Hatari sana. Above all hii ni bahati nasibu.
ahahah mkuu zile milioni tano bado zipo unipe kamtaji? karibu tena kilingeni..
Mungu saidia mkuu huyu ashinde hii ticket. Amina.View attachment 347665
Hapa nasubr timu moja tu ya mwisho nyengne zote saf cjui nae ataua[emoji144]
....na Marseille!Jana kuna maibilisi mawili km ulinusulika nayo basi utakuwa na % kuwa ulikula, kuna Dortmund na lyon.
sunderland walitumia nguvu nyingi sana kushinda mechi iliyopita, leo watarelax...ndio maana wamepewa points lukuki.Sijui kwanini sunderland kapewa point nying hivyo wakat mechi za mwisho hizi yuko moto vibaya...au mhindi anataka tumuogope kumfuata?? ila mkuu liver anaweza kuharibu mkeka hapo ila lolote linaweza tokea
mkuu, liver leo wanacheza kikosi cha pili....malengo yao haso yako kwenye fainali ya EUROPA league ambayo wanatakiwa washinde ima faima!Villarreal Hana cha kupoteza jamani. Kuweni nae makini. Bora hata Liverpool kwa mbaliiii. Liver na Villarreal ni wa kuwaweka kwenye mkeka mmoja tu, yasije kutukuta ya dortmund jana.
sunderland walitumia nguvu nyingi sana kushinda mechi iliyopita, leo watarelax...ndio maana wamepewa points lukuki.
carpi bado hajashuka mkuu...kimahesabu, bado anaweza kubaki ligi kuu endapo atashinda na kuombea walio juu yake washindwe.Ni kweli Udinese ni kibonde lakini naamini hawezi kukubali kushuka daraja mzee,maana CARPI ashashuka tyr.
walijituma kwa kuwa walikuwa wanataka kubeba ndoo vizuri...leo huenda wakachezesha kikosi cha pili...kwa hiyo chelsea wana uwezekano mkubwa wa kushinda mechi hii ya leo.Hakuna timu iliyotumia nguvu nyingi kama Leicester City lkn walikwenda wanashinda game baada ya game mpk wakabeba ndoo