Miaaaaaaaa, Na ukitaka kupata option nyingi zaidi...CLICK kweny majina ya timu husika.
wazee wenzangu wa kuweka MIZIGO nataka kujiunga na MERIDIANBET online....tayari nimejisajiri ila naambiwa akaunti yangu bado haijawa active. ili iwe ACTIVE nifanyaje wadau maaana nimejaribu kudeposit hela lakini pia nimetakiwa niingize ACCOUNT ID kwenye muamala huo. sasa hii ACCOUNT ID mimi nitaipata wapi? msaada wenu tafadhali.
Haijafunguka iyo mzeeHapa vipi wadau
wazee wenzangu wa kuweka MIZIGO nataka kujiunga na MERIDIANBET online....tayari nimejisajiri ila naambiwa akaunti yangu bado haijawa active. ili iwe ACTIVE nifanyaje wadau maaana nimejaribu kudeposit hela lakini pia nimetakiwa niingize ACCOUNT ID kwenye muamala huo. sasa hii ACCOUNT ID mimi nitaipata wapi? msaada wenu tafadhali.
Huu mchezo hauhitaji hasira lakn kuna mda mmmhh unashindwa kujizuia
Ebu ona jana ucku nna mkeka ulikua imebaki mechi ya brighton tuu ili nile mpunga na nlimpa ashinde
Kabla mechi haijaanza nkapata wasiwasi
Nkazama online nkamuua kwny mkeka wa timu 1 ili akizingua ule wa kwnza ntakula huu wapili
***** wahal si amedroo
Imebidi nicheke tu[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah, umenchekeshaa kinoma
Mkuu usicheke
Yani hapo nlijiona nmempatia kchz nkasahau kunakuaga na droo
Yani natamani kwenda likizo lakn kila nikiwaza navomdai mwindi pesa mingi nashindwa kbsa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu mchezo hauhitaji hasira lakn kuna mda mmmhh unashindwa kujizuia
Ebu ona jana ucku nna mkeka ulikua imebaki mechi ya brighton tuu ili nile mpunga na nlimpa ashinde
Kabla mechi haijaanza nkapata wasiwasi
Nkazama online nkamuua kwny mkeka wa timu 1 ili akizingua ule wa kwnza ntakula huu wapili
***** wahal si amedroo
Imebidi nicheke tu[emoji3]
Mkeka hakuna.Jaman kuna apps ya mkekabet?
Yani jana Brighton kanichania wa win halafu Rostov kachana wa 2+ huku wenzao wote wakiwa wameshatiki, yani mchawi hua anatokea mmoja tu na anakera kwa kweliHuu mchezo hauhitaji hasira lakn kuna mda mmmhh unashindwa kujizuia
Ebu ona jana ucku nna mkeka ulikua imebaki mechi ya brighton tuu ili nile mpunga na nlimpa ashinde
Kabla mechi haijaanza nkapata wasiwasi
Nkazama online nkamuua kwny mkeka wa timu 1 ili akizingua ule wa kwnza ntakula huu wapili
***** wahal si amedroo
Imebidi nicheke tu[emoji3]
Mkuu upo vizuri sana,ipo siku utamchojoa jamaa mpaka ashangae
Mwingine huyu nae ... mxiuuuuuuuu ππ
View attachment 348294