Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahahahahaa same scenario mie pia kaniuwaa
 

Pole mkuu, Watu wanatofautiana......Ila kwa ushahidi huo, Wamekuelewa sana....Wasamehe bure, hahahahhahahhaha......

Mimi bila hata Screenshot, Nakuamini sana.

Pamoja Kiongozi.
 
hahaha
Ipo siku nitazipunguza nicheze timu 10 af nitupie jiwe (100K) nimshangaze baniani ... heheheh[/QUOTE
hahaaa leo unanichekesha hatarii tumia mikeka yako humu leo nikufaate mzeir
 

Account ID huwa wanaituma kwenye Email yako(uliyoIandika)....

Vinginevyo, Wapigie tu....Mambo yatakuwa Murua.
 
buddy hizo za AFC zitashnda keel??



Nilimpa Melbourne Victory & Shanghai SIPG ... lakin sasa hazina maana, mkeka ushachanika. Kama umefuatilia hii Asia Cup, timu za Japan zimeangukia pua sana ... huyo FC Tokyo nadhani nae anakamilisha ratiba leo. Ila waKorea wako vzr sn, so Melbourne Victory ana kazi kubwa kwa Jeonbuk FC
 
Swali,.. hiv premier betting option ya kushinda yoyote ni ipi wakuu?? Pamoja na +2 na underscore
 
Sisi tuliobet kwa man u juz inakuaje wadau???



Mara nyingi mechi ikiwa postponed (kwa Meridianbet) wanakupa odd ya 1 ... ili hesabu kwa mechi zilichochezwa ibaki vile vile coz 1 x Anything = Anything
Kwa mkekabet, sikumbuki vizuri lkn nafikiri na wao wanafanya km meridianbet. Wanai-disregard hiyo mechi (= 1 odd).
 
Nimekupata chief
 
Wakuu,Vipi Man U leo? Option ya magoli vipi? Wanaweza fikisha 5+ kweeeli! Hahahahhahahahahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…