Jana nmeweka mikeka 14 thamani yake elfu 70...nmekula mikeka 4 354200..sio biashara mbaya
Jana nmeweka mikeka 14 thamani yake elfu 70...nmekula mikeka 4 354200..sio biashara mbaya
Kwakweli bwana Nokia u deserve it mana zile hesabu zilikua zaid ya za injinia, haha
Jana nmeweka mikeka 14 thamani yake elfu 70...nmekula mikeka 4 354200..sio biashara mbaya
Jana humu ndani niliona kuna picha za kalkuleta. Hivi kumbe ndiye huyu braza.?
Haahaahaaahaa.
Hahahaha anaitwa Nokia mzee mwenzetu
Mi nadhani wamekosea leo kumpa Malmo odds 5.Napoli kupewa odds 3.2 ni uzushi au wamekosea?
😱Celtic ni miongon mwa team mbovu mwaka huu