Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hii furaha waliyonayo mashabiki wa mk dons hawajawahi ipata!! 4-0 dhidi ya man utd, duh
 
Dah hii Man U kila mtu anaifunga. Imeharibu mahesabu kweli hata naogopa angalia account zangu. Yaani Man U imefikia kiwango cha kutolewa hata Capitol One. Uuuwi sasa hao Burnel si ndio wataua kabisa jmos
 
Jana nmeweka mikeka 14 thamani yake elfu 70...nmekula mikeka 4 354200..sio biashara mbaya

We jamaa jana hujatupia humu mikeka yako ukiweka hizo za ushindi sisi unatuongezea hasira tuuu.
Hebu leo fanya mambo
 
Mimi niliwaambia jamani kama mashabiki wa man u tu hawaiamini team yao.. Wewe unayeilioia kamari unatafuta nn kamq si kuliwa.... Mi man u hata akipewa odds 5 kwa hali aliyonayo siweki hela
 
😱Celtic ni miongon mwa team mbovu mwaka huu

hahah pole mkuu, celtic mwaka huu sio wazuri sana, tatizo lao ni kuuza kwa wachezaji wazuri baada ya kuwika au wachezaji kupewa offer nzuri na klabu kubwa. hadi kocha ameondoka sababu maboss wanapenda pesa badala ya kuwakeep wachezaji wazuri, kocha waliyenaye sasa sio wa mwaka jana.

unajua cl walishatolewa na legia warsaw ya poland ila wakapata nafas sababu legia warsaw walimchezesha mchezaji aliyefungiwa na uefa

walipigwa nje ndani home 2-0 , away 4-1
 
Back
Top Bottom