daaah mkekabet ni the BEST kwa kuwithdraw, yani dk 5 nyingi udambwi dambwi ushaingia fasi ya m-pesa. Mi meridianbet naitumia nkiwa sina haraka na hela. Lakini nikifulia nacheza mkekabet ili nikishinda nivute fasta, yani dizain zile "andaa ugali naleta mboga ... "
Nashukuru kwa kufuata ushauri wangu. Hapo ungeweka elfu 50 ungepiga laki laki saba kiulaini... hebu ngoja kwanza, huenda nikipunguza timu nawapunguza wachawi = ushindi guaranteed 90% (#NawazaKwaSauti 😀😀)
View attachment 350508
Jana hizi odds 15.99 sikuzitendea haki, ngoja nijaribu na leo nione.
Nashukuru kwa kufuata ushauri wangu. Hapo ungeweka elfu 50 ungepiga laki laki saba kiulaini
Sijaelewa.baadhi option hapoHaya, wenye roho ngumu ... twenzetuni.
Volgar Astrakhan‐Anzhi - I0G (2.50) .... pia II> ni option nzr hapa
Kuban‐Tomsk - GG (1.96)
Parnu‐Paide - 2 (1.52)
Mohun Bagan‐Tampines - II > (1.92)
Winterthur‐Xamax - GG (1.51)
-----------
Total odds = 21.59
Sijaelewa.baadhi option hapo
Ukifanya haifanyiki lakini ukijaribu ina jaribika.Hahahahaaa!... hebu ngoja kwanza, huenda nikipunguza timu nawapunguza wachawi = ushindi guaranteed 90% (#NawazaKwaSauti 😀😀)
View attachment 350508
Jana hizi odds 15.99 sikuzitendea haki, ngoja nijaribu na leo nione.
Ukifanya haifanyiki lakini ukijaribu ina jaribika.Hahahahaaa!
Leo weka mapema nifuate please!
Nimewaona Premier betDuuh kumbe hawa waIreland wanacheza leo?? mbona sijawaona kbs ...
Ok mkuu nahapo kwenye game ya anziSawa, kwa ufafanuzi ...
II> - maana yake kipindi cha pili kiwe na magoli mengi uzidi kipindi cha kwanza.
GG - timu zote zifungane
bologna nawe hii fursa umeichangamkia!Buddy tupiamo mkeka mmoja amazing. Maana nimejiunga mkeka bet jana. Nimeona nibadili kampuni ya kubeti labda naweza nikatusua wiki hii.
Duuh kumbe hawa waIreland wanacheza leo?? mbona sijawaona kbs ...
Ok mkuu nahapo kwenye game ya anzi
Msaada jamani nimecheki option hizi mkeka bet zimenivutia sana tatizo nimeshindwa kuelewa maana yake..