Wakusoma popote ulipo naomba uamke tuwahi kazini
Kumbuka kulipa deniJana nilikataa kulala bila hela, nkajikopesha 10 la kutupia nipate kamtaji ... nmeamka asbh hii kumbe waBrazil wamenipa aseee (nlicheza magoli tu)... mtaji umepatikana. Ngoja nikapate supu kwanza ...
Kumbuka kulipa deni
Buddy soon utaanza kucheza elfu 50Jana nilikataa kulala bila hela, nkajikopesha 10 la kutupia nipate kamtaji ... nmeamka asbh hii kumbe waBrazil wamenipa aseee (nlicheza magoli tu)... mtaji umepatikana. Ngoja nikapate supu kwanza ...
1Y - wa nyumbani ashinde, na timu zote zifungane e.g 2-1, 3-2, 4-1 etc
XY - mechi iishe draw na timu zote zifungane e.g 1-1, 2-2, 3-3 etc
1N - wa nyumbani ashinde lakini timu nyingine isifunge e.g 1-0, 2-0, 3-0 etc
2Y - wa ugenini ashinde na timu zote zifungane e.g 1-2, 1-3, 2-4 etc
2N - wa ugenini ashinde na timu nyingine isifunge e.g 0-1, 0-2, 0-3 etc
Hope nimesomeka
Buddy soon utaanza kucheza elfu 50
Mkeka bet wazuri sema hawana Tim nyingi, na pia za mchangani chache sanaHahaha, nimeshalipa kaka ...
Aisee mkekabet kutoa hela hawa jamaa wametishaa sn. Nimeitoa saa 8:58am na imeingia kwenye m-pesa saa 9:00am, yaani ni kusema ndani ya dakika 2 mpunga umepatikana na mambo mengine yanaendelea.
Pumzika mkuu mbka ligi itakapoanzajamani naona hata hii poshomtaji itaisha..... kila siku nakosa timu moja siku ya3 mfulululizo.......
Hahahaha mkuu pole sana kwann usicheze kwenye magoli hasaa over na underjamani naona hata hii poshomtaji itaisha..... kila siku nakosa timu moja siku ya3 mfulululizo.......
buddy odds 2 Nahitaj ase nimechoka kuliwa.hahaha, asante kwa utabiri Wa Kusoma ... na hilo neno litimie.
buddy odds 2 Nahitaj ase nimechoka kuliwa.
Mkuu kwan kwenye magoli Huwezi kuangushwa na timu moja?Hahahaha mkuu pole sana kwann usicheze kwenye magoli hasaa over na under
jamani naona hata hii poshomtaji itaisha..... kila siku nakosa timu moja siku ya3 mfulululizo.......
buddy odds 2 Nahitaj ase nimechoka kuliwa.