Hahaha, Chris41 kwani unacopy na kupaste, huwa haubadili kidogo? ... nimeshatupia mikeka yangu naiskizia mkuu. Ila nimetegesha huu hapa chini, incase hiyo ya mwanzo ikizingua namalizia na huu kwa stake ya 15,000/- (odds 5.37) ...
- Wednesday 25. May 21:30
Basel vs Grasshoppers Zürich
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 1.91- Wednesday 25. May 21:30
FC Luzern vs FC Sion
Match Result Full Time
Bet: 1
Odds: 1.98- Wednesday 25. May 21:30
FC Lugano vs FC St Gallen
Both Teams to Score
Bet: Y
Odds: 1.42
Ngoja nikawapimie
Wadau kuna games za Norway Cup, zinaanza saa 1 usiku (1900hrs) ... ukicheza magoli (over 1.5 au 2+) huwezi kutoka kapa.
Hizi hapa ... ukiziotea 4 ukawapa 3+ ukatia 10, hukosi 50,000/- ya bia bariiidi baadae
Wapigie bila hvyo utakexhaaBut imekua hours sasa tangu nimewatumia pesa bila response yao Yeyote
Inachukua muda gani kufanya registration na mkeka bet, coz kwa maelezo wameandika pale unatuma pesa then automatically utakua umejiunga baada ya wao kukutumia log in code
Unanishawishi kurudi uwanjani. Hapa nilikufuata lkn mm nikaweka single bet nikapata ya lunch.Wadau kuna games za Norway Cup, zinaanza saa 1 usiku (1900hrs) ... ukicheza magoli (over 1.5 au 2+) huwezi kutoka kapa.
Unanishawishi kurudi uwanjani. Hapa nilikufuata lkn mm nikaweka single bet nikapata ya lunch.View attachment 350908
Mkuu unapowin ile pesa wanaipeleka wapi? ni kwenye account yako auYaap,Hawana Mbwembwe wale......Just Deposite Hela, wakupe PIN, Uanze Kazi.
Naomba msaada jinsi ya kuweka pesa meridian bettingYaap,Hawana Mbwembwe wale......Just Deposite Hela, wakupe PIN, Uanze Kazi.
Hapana kaka mimi sikuwa mtu wa kuweka dau dogo kama hilo tena kwa single betHahaha, Wa Kusoma kumbe mtaji bado upo mwana. [emoji28][emoji28][emoji28]