Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mitimu ya finland bana dah buku ten yangu hiyooo
mi mwenyewe nmepigwa apo, nliwapa mech zote 2+ VPS kazinguaMitimu ya finland bana dah buku ten yangu hiyooo
Haya msiningushe ....msifikishe goli 5 jamani nipate hata hako ka 49000 jamani....tuoneane huruma jamani mshanipiga laki siku3.....
Da pole mkuuBari anachana haaaaapaaaaaaas....... Mamaaaaaaaae
Hahahaa usije ukamaliza posho yote huku mkuu.Mmeona usenge wa Bari..... Kafika goli 5,.. Kama Si UK**** .... Ni nini!!???,..,, jamani nimepigwa 120000 siku 4.,,,. Nnatema .... Tukutane copa na euro.
Nimeamua kufanya hivi wadau
Romania Vs Congo DRC Y
Odds 2.65 imenivutia sana.
Nimeweka stake ndogo tu elfu 80
Nimeamua kufanya hivi wadau
Romania Vs Congo DRC Y
Odds 2.65 imenivutia sana.
Nimeweka stake ndogo tu elfu 80