sawa mkuupremierbetting mkuu.
vipi mr mechi ya real madrid?premierbetting mkuu.
Buddy naomba unisaidie odds za usiku huu nijaribu kurudisha kapesa kanguOver/Under 2.5
Over - maana yake magoli yawe ma3 na kuendelea
Under - maana yake magoli yawe ma2 na kushuka (magoli yasizidi ma2)
"Red card No" weka pesa yako ya mkopo kisha nenda kaangalie mechi huko ukisubiri mkwanja wako.vipi mr mechi ya real madrid?
sawa mkuu"Red card No" weka pesa yako ya mkopo kisha nenda kaangalie mechi huko ukisubiri mkwanja wako.
Nani atakuwa next kuwa mwekundu au wa kijani kati ya hiyo mikeka miwili iliyo baki?
Hatari sana nimefukiza udi na kuweka mfupa wa nguruwe huyo mchawi atakaye jitokeza sasaitabidi tumsafirie kwa babu sumbawanga au kigoma kabisa.
hizo za other ulishawahi kukosaa, hizo ni 100% labda itokee timu yenye sifa ipige goal 3 kipnd kmoja
Ndio maana nazipenda unakusanya jumla ya odds 2 times 50000 sh. Laki moja mfukoni. Ila ikitokea timu yenye sifa ndo hivyo tena.
So sad pole sana mkuuHuuu mchezo unaweza kumfanya mtu kichaa! Mshahara wote wa mwezi huu nimemfanyia kazi mhindi. Mimi betting basi, Kwa herini mbaki salama
Pole sana mkuuSawa kaka mm sijui kama nitarudi labda niwe nabet stake za 500 hadi 10000 only for funy
tupia na mimi ninalzie hii hela
Jamani kabla sijalala nitasuka mikeka ya kesho, kanjibah akizipenda sana hela zangu km alivyozipenda leo nitaungana na makamanda Mtoto wa Inzi na Wa Kusoma kwenda likizo ya lazima ... eeeh, maana hakuna namna sasa!
(Nitarudi EURO...)
Atletico shots on goal over 3.5vipi mr mechi ya real madrid?
Daaah yani mimi nishakua addicted na betting nisipobet cjui najiskiaje yani cku haitaisha vizuri niko tayar kuweka hata kamkeka ka jero tuu, nkishindwa kabisa naweka ka mia mbili mkeka bet alafu nausikilizia hapo cku itaisha vizurii
tupia na mimi ninalzie hii hela
nimempa AtleticoPoa poa ntashare Gasper do Santos ... ngoja niangalie game ya Madrid derby kwanza. Karata yangu kwa Atletico Madrid, japo sijabet kwa namna yoyote kwa mechi hii ...