mi ndio mchawi wa kubet kesho nakuja na team za ushindi hapa hapa
mkeka wangu wa leo mchana
AL Arabi
AL Ahli Doha
Home united
Abirex
Tigers
Hizo timu 3 za mwisho ni za wapi mkuu
Hao ndio wenye uhakika
wadau nataka kuweka lokomotiv moscow,metalist kharkiv na krasnodar kwa 30000 vipi imekaaje?
Kamweneeee! Nyevaaaa!?
kamwene mwanagwage....umebett lakin mkuu?
nimeweka za ushindi tu nazo ni zurich,psv na dnipro! Dau 9000/=tu nasubil mpunga kesho
Bomu langu hili hapa..