Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
Pole sana. Hata mimi napigwa sema sikomi. Nikiweka mkeka wa odd 2.5 au pungufu ndio nakula. Lakni nikiweka timu nyingi lazima atokee mchawi. Yaani sijawahi kula laki kwa mia tano kabisa.Chief alichokifanya huyo IFK Norrkoping (vs Elfsberg) na Germany kwenye mikeka yangu mi3 ni ukatili usiosahaulika. Nilikosa laki 3, laki 9 na m2. Hakika mpk dk hii Kanjibah ameshinda vita, lkn hatutaacha kujitetea ... #Hatukomi.
Jana tena kalala na 10 langu ... daaah
nimeshafanya azidi ya miamala vitatu na muamala uliona chelewa azidi ulichukua Massa sita hebu cheki namba uliyo sajilia mkuuWakuu kampun ya premier wapo vizuri au wapo vibaya wanacho nifanyia cy kizuri nime toa hela tarehe 24 mpaka leo cjapata halali kweli
Nilijalibu kuwasiliana nao wakaniambia watawadiliana na makao makuu landannimeshafanya azidi ya miamala vitatu na muamala uliona chelewa azidi ulichukua Massa sita hebu cheki namba uliyo sajilia mkuu
Copied..Kanjibah nipige tu na huu mkeka ili niende likizo ya kubet vzr. Mchezo tunaupenda lkn daah ... wachawi unaotuwekea noma sn.
--------------------------
- Monday 30. May 20:00
Mjondalen vs Raufoss Fotball
Over/Under Half time 0.5
Bet: O
Odds: 1.29- Monday 30. May 20:00
Åtvidabergs FF vs IFK Varnamo
Over/Under Full time 1.5
Bet: O
Odds: 1.31- Monday 30. May 20:30
Orgryte Gothenburg vs Halmstads BK
Over/Under Full time 1.5
Bet: O
Odds: 1.32- Monday 30. May 20:30
Sweden vs Slovenia
Over/Under Full time 1.5
Bet: O
Odds: 1.33- Monday 30. May 22:00
France vs Cameroon
Over/Under Half time 1.5
Bet: O
Odds: 2.80- Monday 30. May 13:30
Bulleen Lions vs Bentleigh Greens
Over/Under Full time 3.5
Bet: U
Odds: 1.55
Total odds = 12.88
Hapo ndio naumia zaidi. Bora nikose yimu hata tatu. Yaani sijawahi kupanga timu nyingi nikala. Lazima atokee mchawi tena wakati mwingine timu uliyokuwa unajishauri sana kuiweka.Hivyo ndivyo Drogheda United alivyouchana huo mkeka kanikosha laki nanee hv hv
Punguza timu mkuu weka timu tatu hapo hela ipo kabisa.Kanjibah nipige tu na huu mkeka ili niende likizo ya kubet vzr. Mchezo tunaupenda lkn daah ... wachawi unaotuwekea noma sn.
--------------------------
- Monday 30. May 20:00
Mjondalen vs Raufoss Fotball
Over/Under Half time 0.5
Bet: O
Odds: 1.29- Monday 30. May 20:00
Åtvidabergs FF vs IFK Varnamo
Over/Under Full time 1.5
Bet: O
Odds: 1.31- Monday 30. May 20:30
Orgryte Gothenburg vs Halmstads BK
Over/Under Full time 1.5
Bet: O
Odds: 1.32- Monday 30. May 20:30
Sweden vs Slovenia
Over/Under Full time 1.5
Bet: O
Odds: 1.33- Monday 30. May 22:00
France vs Cameroon
Over/Under Half time 1.5
Bet: O
Odds: 2.80- Monday 30. May 13:30
Bulleen Lions vs Bentleigh Greens
Over/Under Full time 3.5
Bet: U
Odds: 1.55
Total odds = 12.88
Samahani mkuu hata mie hawa premier betting nimetoa pesa lakini mpaka sasa haijaingia naomba namba zao nicheki naoNilijalibu kuwasiliana nao wakaniambia watawadiliana na makao makuu landan
huyoo ifk norrikoping kanifanyia ukatili jan yan hat mtaj kagoma kunipaChief alichokifanya huyo IFK Norrkoping (vs Elfsberg) na Germany kwenye mikeka yangu mi3 ni ukatili usiosahaulika. Nilikosa laki 3, laki 9 na m2. Hakika mpk dk hii Kanjibah ameshinda vita, lkn hatutaacha kujitetea ... #Hatukomi.
Jana tena kalala na 10 langu ... daaah
Punguza timu mkuu weka timu tatu hapo hela ipo kabisa.
Mi nimechukua namba mbili, tatu na nne.
poleeeeeee mkuuu
sa m bado nikiweka 1.5 kwa timu mbili bado nakosea moja.
Kweli mkuu mm jana niliweka tim 21 nimekosa mbiliBetting haina formula aiseee ... unaweza ukaweka single bet ukaangukia pua, na mwingine akaweza timu 10 akapiga mpunga.