Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahaha ... kaka safi sn. Kwa kwl leo umenipa bonge moja la idea ... kwa style hii kuchana mkeka ni ngumu sn. Kaka nakufuata kuanzia kesho. Hakika kuanzia asbh mpk jioni unauhakika wa kuodoka na 30K


Kamtaji ka single bet kanakua taratibu huku nikiwa na akiba ya mikeka ya multiple bets..
 
Wadau msaada wenu nijilipue buku saba. timu mbili ambazo zitafungana.

#HATUKOMI.
 
Wakuu me naona option nzuri za kupiga hela ni:
1. Double chance ya 12 ambapo mshindi anatakiwa kupatikana mmoja. (primierbet wana odd nzuri ambapo ukiweka timu tatu unapata odd 2.
2. Ya mogoli over/under 1.5
3. Both team to score
Kwa mfuatano
 
Game ya ufaransa nadhani imehairishwa, sheria za premier vpi??Naweza iondoa muda wake wa kuanza bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…