View attachment 181017huyu mdosii huyuu ebu angalia huu mkeka alafu nambieni wadau imeniuma sanaaa!!!! arrrgh
eh bhana eeh, total odds ni ngap apo
Sijui ni vodacom (m pesa) au m bet wanamatatizo au ndio utaratibu mpya hata siwaelewi?uwa naweka mzigo kwao sasa mpaka muda huu hakuna ticket hata moja walionilipa,bado siku haijaisha lakini nitawekaje mzigo ikiwa nilichopata hawajanipa na sina salio ktk mpesa?nipo kijijini sana kwa hiyo hakuna kampuni yoyote nitakayoweza kuamia.najua wahusika wapo hapa jf km ni hivyo basi wafanyie kazi ili tuweke mzigo mpya
Bomu langu hili hapa..
nimeweka za ushindi tu nazo ni zurich,psv na dnipro! Dau 9000/=tu nasubil mpunga kesho
hiyo inaitwa 28+ yani unazuia magoli yasipatikane ndani ya dk 28 za kwanza mf goli lifungwe kuanzia dk 28 na kuendelea other wise umechanaaaaaaaaamkuu hii ni category gani? naomba nieleweshe
Mkuu mbona hii category cjawai iona au ni kwa baadhi ya game?hiyo inaitwa 28+ yani unazuia magoli yasipatikane ndani ya dk 28 za kwanza mf goli lifungwe kuanzia dk 28 na kuendelea other wise umechanaaaaaaaaa
Mkuu mbona hii category cjawai iona au ni kwa baadhi ya game?
Naona leo ngoja niweke mzigp ktk corners na yellow/red card