mtanzania10
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 271
- 81
OK NILIKUWA NADHANI NI LAZIMA KIPINDI CHA KWANZA WATOKE SULUHU ISIWEPO TIMU YOYOTE YA KUFUNGA GOLIWewe si umesema "Wafungane kipindi cha pili" na kweli wakafungana kipindi cha pili (yaan kila timu ikapata goli kipindi cha pili).......sasa kipindi cha Kwanza kinakuhusu nini!!!!
Maelezo yapo wazi sana,
Kama unataka kusaidiwa hadi jibu...hahahaha
Na jibu ni "WIN"
HAHAHAH,pamoja mkuu.
Ondoa upuuzi huuBETTING WHATSAPP GROUP
Andika neno mkeka kwenye 0759622622 karibuni........
Hapa hata ukicheza double chance hukosi...ngoja tuchangamkie fursa kabla odds hazijashuka...Tanzania win or draw 1xHahahahhaha, Tz wamemwona Kilaaaaaza! Hahahh
Hapa hata ukicheza double chance hukosi...ngoja tuchangamkie fursa kabla odds hazijashuka...Tanzania win or draw 1x
Sikumbuki ni lini Tz ilifungwa nyumbani mechi yeyote ya kufuzuIla Taifa stars siwaamini,Asilimia za kupigwa ni nyingi.
Bora umdhamini Misri.
Bet wonMacedonia vs Iran
Both to score 2.23
Kazi unayo aisee tunakuombea, tafuta na kaschana kabisa au pakti mbili za kukutia moyo kabla hujaanza kusweti...heheHapa,napiga magoti kwa nguvu zote mechi ya ENGLAND over 2.5 manake wamebaki wao tu kwa jiwe langu la gizani kwa total odds 28.
Mkuu mimi mwenyewe nasubiri watupie kimoja mkeka wangu uponeInaninyi hela hiyo timView attachment 353071
Mkuu hapo tayari tumesha lizwa mpra umeisha betting ngumMkuu mimi mwenyewe nasubiri watupie kimoja mkeka wangu upone
Tatizo akili zako ni za mwendo kasiOndoa upuuzi huu